utakuja kusutwa vibaya Bishanga kuliko misuto yote niliyowahi kushuhudia! haya we endelea ka unataka aibu.mkuu toka siku ile umesema you are in your 40's unatafuta wa 35 to 40 hujapata tu? kwani madame x ilikuwaje tena,niliona kama alionyesha interest?
hongera sana! wish u the best!
Ikitokea bahati mbaya mkaachana (Mungu apitishe mbali), usisahau kuja hapa kutuambia kisa na mkasa.
Hongera sana Mkuu. Hii inaweka record kuwa JF ni zaidi ya jamvi. It is a Social Network!
Msalimie Bibie.
Asante sana Cool Gentleman.
Salamu zako zimefika.
Bibie mwenyewe ndie mie.
Na nakuhaidi tutakualika ktk sherehe yetu ya utambulisho.
Mapenzi ni maridhiano.
Nampenda sana Ahmad a.k.a Nascoba.
kamati ya vinywaji tafadhali!
Asante sana,utakuwa msambazaji mkuu wa kadi
Hashycool tuliza ball.
Tukiwa tayari tutaku-PM.
Maana kuna baadhi ya wana Jf wachache tutawaalika ktk Party ya Utambulisho hapo Siku itakapowadia.
hashycool tuliza ball.
Tukiwa tayari tutaku-pm.
Maana kuna baadhi ya wana jf wachache tutawaalika ktk party ya utambulisho hapo siku itakapowadia.
Hongera shost, Mungu awatangulie ktk kufanikisha lengo lenu. Kila laheri lol
aisee!
sijawahi kuwa serious hapa ndani!