Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kinawezekana ukiamini...Hongera sana Nascoba..
yote heri
Umemega kwanza mkuu?
Kila kitu kinawezekana ukiamini...Hongera sana Nascoba..
Umemega kwanza mkuu?
TIQO,
Si kila mtu anawaza ngono masaa yote.
Kama unategemea hayo,
Maisha yako, yako hatarini Mkuu.
acha kuchafua hali ya hewa hapa.....:thinking:
madame kama mmetongozana na kukubaliana huko kulikuwa na haja gani yakuanika huku? Na sisi tunatoa ushauri hapa jamaa asije akaona bwawa akaja kuanzisha uzi hapa wa kuomba ushauri
madame kama mmetongozana na kukubaliana huko kulikuwa na haja gani yakuanika huku? Na sisi tunatoa ushauri hapa jamaa asije akaona bwawa akaja kuanzisha uzi hapa wa kuomba ushauri
Madame B unajishushia heshima mpaka sasa wewe hufai kuwa mke labda kama nas anataka akuweke kipoozeo na si mke wa ndoa.