nimeshapata

nimeshapata

Nascoba

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
310
Reaction score
160
napenda kutoa taarifa kwamba nimefanikiwa kupata mke mtarajiwa hapa jf kupitia bango ambalo niliweka,nilipokea pm nyingi na kupitia hizo malkia mmoja amepatikana.aidha napenda kuwatia moyo wote ambao walini pm kwamba wasikate tamaa ktk kutafuta wenza.niwaombe radhi pia wale ambao walikosa majibu kutokana na mimi kutowepo wakaishia kulaumu.
Nawapongeza na kuwashukuru mods pia kwa ukumbi huu.wana jamii wote kwa ujumla mutarajie kupata kadi za harusi muda wowote mambo yakishaiva.
Asanteni sana.
 
Hongera sana mkuu kwa kumpata mwenza
The unseen is illustrated by the seen.
 
Mmh . . . kila la heri Mkuu . . . . mimi bado niko katika mchakato.

mkuu toka siku ile umesema you are in your 40's unatafuta wa 35 to 40 hujapata tu? kwani madame x ilikuwaje tena,niliona kama alionyesha interest?
 
Ikitokea bahati mbaya mkaachana (Mungu apitishe mbali), usisahau kuja hapa kutuambia kisa na mkasa.
 
Back
Top Bottom