Nimeshatongoza nafanyaje sasa

Nimeshatongoza nafanyaje sasa

Kadiri siku zinavyo zidi kusonga, na wanaume tunazidi kupungua....[emoji20]
Inasikitisha sana....[emoji17]
 
Mwambie akupe nguo zake uwe unamfuliana aitaka kwenda kwa bwana wake msindikize na umpe pesa ya kutumia akiwa kwa bwana wake pia. Usisahau kumpa pesa nyingi kadri uwezavyoili afuarahie kuwa na boyfriend kama wewe
 
Muoneshe hiyo Sign
t-in-american-sign-language.jpg
Dole Gumba lipitishe chini ya kidole cha pili kisha kunja ngumi na mwambie atizame
 
Habari wakuu...

Nilipata namba yake nilichart nae dakika kadhaa na nikamueleza ukweli NAMPENDA haya mtoto kanielewa???

Nini kinafuata baada ya hapo wakuu???

Ushauri wenu nahitaji nile huyu mtoto...
Sasa hatua zoote umevuka salama
Unshndwa nini kumalizia ya mwsho
Eti unatuuliza umle au usimle
Muogeshe na mtunze basi maana ashkua mdoli wako
 
Mwambie ulikuwa unamtania...


Cc: mahondaw
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mamaeeee maku huyu anatuaibisha

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Wakurya wakifikia hatua hiyo mara nyingi husema maneno haya;
"we!mama bhoke,we mama bhoke!hebu inama nikurenge" sijui wanamaanisha nini
 
Mwambie asubiri kidogo ukatahiriwe kwanza

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Back
Top Bottom