chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Mtu haanzishiwi dawa za presha mpaka atakapopima zaidi ya mara 2 kwa siku, vipimo vipishane kwa tofauti ya masaa ma4 kutoka kipimo kimoja kwenda kingine na katika siku/sehemu 3 tofauti. Ikiwa ni hivyo, na ikaonyesha vipimo vyote vipo juu, hapo ndio tutasema una tatizo la presha.. Je, walifanya hivyo?Habari wataalamu wa tiba katika forums hii.
Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze kutumia dawa za kushusha.
niombe kwenu wadau kama kuna yeyote hali hii ilishawahi mkuta na kutumia dawa siyo kwamba nitakaribisha matatizo zaidi kwani hali yangu ya afya iko vizuri changamoto ninayokutana nayo ni kutoka jasho jingi hasa wakati wa usiku.
Mkuu fuata ushauri wa daktari ukifanya mchezo utapata ulemavu wa kudumu yani strokeHabari wataalamu wa tiba katika forums hii.
Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze kutumia dawa za kushusha.
niombe kwenu wadau kama kuna yeyote hali hii ilishawahi mkuta na kutumia dawa siyo kwamba nitakaribisha matatizo zaidi kwani hali yangu ya afya iko vizuri changamoto ninayokutana nayo ni kutoka jasho jingi hasa wakati wa usiku.
Habari wataalamu wa tiba katika forums hii.
Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze kutumia dawa za kushusha.
niombe kwenu wadau kama kuna yeyote hali hii ilishawahi mkuta na kutumia dawa siyo kwamba nitakaribisha matatizo zaidi kwani hali yangu ya afya iko vizuri changamoto ninayokutana nayo ni kutoka jasho jingi hasa wakati wa usiku.
Ila kama hakuna error kwenye upimaji, na kama wamerudia mara 2, na wamepima mtu zaidi ya mmoja, hata kama ni kituo cha afya, basi hiyo pressure inatosha kabisa kusema ana HYPERTENSION.Mtu haanzishiwi dawa za presha mpaka atakapopima zaidi ya mara 2 kwa siku, vipimo vipishane kwa tofauti ya masaa ma4 kutoka kipimo kimoja kwenda kingine na katika siku/sehemu 3 tofauti. Ikiwa ni hivyo, na ikaonyesha vipimo vyote vipo juu, hapo ndio tutasema una tatizo la presha.. Je, walifanya hivyo?
Pili, tutahitaji taarifa zako ili tuweze kukufafanulia, kwa mfano; una umri gani? (Unaweza kujibu early 20s au late 30s kulinda taarifa zako), umepima kwenye kituo cha afya au hospitali? Na wamekushauri utumie dawa gani?
Watanzania wengi ni wabishi sana.Mkuu fuata ushauri wa daktari ukifanya mchezo utapata ulemavu wa kudumu yani stroke
Mara 3Umepima mara ngapi na kuonekana pressure yako ipo juu?
Nina miaka 40s nimepima hospitali ya wilayaMtu haanzishiwi dawa za presha mpaka atakapopima zaidi ya mara 2 kwa siku, vipimo vipishane kwa tofauti ya masaa ma4 kutoka kipimo kimoja kwenda kingine na katika siku/sehemu 3 tofauti. Ikiwa ni hivyo, na ikaonyesha vipimo vyote vipo juu, hapo ndio tutasema una tatizo la presha.. Je, walifanya hivyo?
Pili, tutahitaji taarifa zako ili tuweze kukufafanulia, kwa mfano; una umri gani? (Unaweza kujibu early 20s au late 30s kulinda taarifa zako), umepima kwenye kituo cha afya au hospitali? Na wamekushauri utumie dawa gani?
Hapo kuna changamoto mkuu,Mar
Mara 3
Hee hatari hiiHapo kuna changamoto mkuu,
Kubali kuanza dozi, huwa wanaongeza/wanapunguza grams kulingana na tatizo. Ila mara nyingi ukishaanza kutumia dawa za pressure ndio hadi maisha yakome.
Usiogope, mwanaume haogopi vitu vidogo hivyo. Unaweza kutumia na mwosho pressure ikakaa sawa tu!Hee hatari hii