chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
- Thread starter
-
- #41
Asante sana mkuuFuata ushauri wa daktari wako.
Vile vile fanya mabadiliko katika maisha yake. Tumia viungo vifuatavyo sana kwenye milo yako: Vitunguu swaumu (garlic), mdalasini (cinnamon), tangawizi (ginger), Iliki(Cardarmon), binzali ya njano (tumeric), majani ya chai -(lemongrass). Haya majani ya chai siyo yale unahyonunua kwenye paket bali ni majani kabisa kama yaonekanvyo kwenye picha hii.
View attachment 2917507
Asante kwa kunitia moyoPole mkuu, pressure mbaya Sana ilimsumbua Sana mzee wangu ilikua inafika hivyo 180,miguu inavimba, anahema harakaharaka mpaka tunaogopa, sema mzee wangu ni mbishi hakubali kushindwa kirahisi halafu Anajali Sana afya yake lakini ndo hivyo Tena umri ukisogea, alitumia dawa ya kienyeji mwaka jana ilimsaidia sana, juzi amepimwa Hindu kakuta pressure 128/80. Ana miaka 63.
Nakushauri anza kutumia hizo dawa za hospitali hiyo pressure ilipofika ni juu sana unaweza kuanguka wakati wowote,badili mtindo wa maisha,chumvi awe adui yako namba moja na mafuta ya kula yaepuke Sana.
Pole Sana punguza stress mkuu maisha ndo hayahaya tu.
Can sarcoidosis be cured?MalcoIM XII kakupa ushauli mzuri usikubali kupakamia madozi bila kujiridhisha...mimi nilikuwa nalowesha kitanda usiku kwa jasho, na nilikuwa nakohowa sana kura pia nilikuwa siwezi kibongo2 ningeambiwa nina TB nilikuwa na hema punzi jujuu luckily ..nimetibiwa hospital wanazokimbilia wanasiasa wetu ikaonekana ni Sarcoidosis...have you ever heard huu ugonjwa? Kapime hospital kubwa Aga Khan.. na nyingine ni afya yako hiyo bruda.
Yah ila kwanza kuijuwa kama ni Sarcoidosis. Ndio maana nikamwambia huyo ndugu asikubali kupakamia madawa paka ajiridhishe kwenye hospital kubwa...it cannot be cured yes,it can disappear it safe..lakini kipindi unasubiri iondoke unatakiwa utumie dawa hukai tu unasubiri itaondoka au kama your unlucky utatumia dawa to the rest of your life.Can sarcoidosis be cured?
There's no cure for sarcoidosis, but in many cases, it goes away on its own. .....Google ndio wanasema. Kwako ilikuwaje?
Nilitumia dawa prednisone kwa almost three years...na zina side affect kibao ila thank God nimeachana nazo.Can sarcoidosis be cured?
There's no cure for sarcoidosis, but in many cases, it goes away on its own. .....Google ndio wanasema. Kwako ilikuwaje?
Dah!Hizi dawa mojawapo ya side effect zake ni kuwa na shoo mbovu