Nimeshiba Mahaba....πŸ’•

Just came here to say, I am happy for you, Kasie.

Paula,

It has been long....

You are definitely missed....☺️

I hope you are doing fine.

Thank you, appreciate your presence πŸ₯‚.

Enjoy your weekend.
 
Daktari kasema nikwambie boss unatakiwa kulala angalau masaa 8 , kwa umuhimu afya yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Basi daktari wangu kanidanyanya....

Kaniambia nilale masaa 4-6 kwa siku nisizidishe nisipunguze.

Kila siku nalala masaa 4, mara chache sana nalala masaa 6.

Ngoja nimuulize Dr. Love anasemaje....
 
Angalia wine huwa inashusha vitu chini huko, 😁

With Kasinde, bila hata wine vitu vinashuka vyenyeweee kila siku....

Maisha burudani kabisaaa πŸ˜….

Wine taaamun
 
Enjoy to the maximum dear!

Hii dunia ni yetu basi!!
 
Hujatuwekea wimbo wa dedication leo.
Kasie hujatuwekea dedication song leo...nakuwaga na throwbacks nzuri sana ukiwekaga zile link za youtube za soul
 
Hujatuwekea wimbo wa dedication leo.

Kasie hujatuwekea dedication song leo...nakuwaga na throwbacks nzuri sana ukiwekaga zile link za youtube za soul

Kweli u mfatiliaji mzuri wa maandiko ya Kasinde....

Muziki ni Mahaba na Mahaba ndo maisha ya Kasinde....

Dedication umepata sema jingine....😊


Old School...

πŸ₯‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…