Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kama nakuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mradi nisiingie tamaa nikajafumba hilo la piliNakuchungulia nikiwa nimefumba jicho moja.....[emoji12]
Daktari kasema nikwambie boss unatakiwa kulala angalau masaa 8 , kwa umuhimu afya yako๐๐๐๐
Na kweliIshinde tamaa, usijepigwa na frampeni na wifi ukirudi nyumbani [emoji28].
Kwa hiyo leo unagegedwa na Serengeti boy
Plz ukimwi upo check hapoView attachment 2008460
OMG ulalege unonoAcha kabisaaa....
Hadi usingizi wake ni mtamuuu....๐.
Kasie hujatuwekea dedication song leo...nakuwaga na throwbacks nzuri sana ukiwekaga zile link za youtube za soulIkawa asubuhi ikawa jioni....
Habari za jioni Kasiende, nzuri.
Waelekea wapi niunge tela...!!
(Kwani vipi...!! Kuingia tela huko vipii...!?) isiwe ishu...
Naenda kupata mlo wa jioni kisha amsha popo maana godoro limelowekwa linakauka kwa mwanga wa mwezi na nyota....
Huku na kule meza ikaandaliwa.....๐๐๐
View attachment 2008408
Baada ya hapo nikahamia kwenye mziki kunyoosha viungo huku vikilainishwa na kinywaji nyevu nyevu....๐๐๐
View attachment 2008407
Basi kimiminika kinashka huku viungo vinalainika huku nanyoosha viungo.....
Aliyefata tela kachemsha karudi kulala mie sina hata tone la usingizi ndo kwaanzaaa kumekuchaaa....
Basi kundi la wanaume wakaanza kuimba, bia tamuu..... nani kasemaaa....
View attachment 2008411
Mvinyo mtamiii weeweeee, ukikutana na mvinyo wa asali lazima uagane na nyonga....
Kitu lainiiii, nyororoooo, taaamuuuuu....
Imepoaaaaa, unaimeza bila kipiga funda aahahahahahahaaaa.
Mahaba mpaka pomoni...
Nimeshiba jamaniii, ila mpishi anaendelea tuu kupika....
Wine ๐ท taaam ๐๐....๐
Kasinde.
Hujatuwekea wimbo wa dedication leo.
Kasie hujatuwekea dedication song leo...nakuwaga na throwbacks nzuri sana ukiwekaga zile link za youtube za soul