Nimeshiba Mahaba....๐Ÿ’•

Nimeshiba Mahaba....๐Ÿ’•

Just came here to say, I am happy for you, Kasie.

Paula,

It has been long....

You are definitely missed....โ˜บ๏ธ

I hope you are doing fine.

Thank you, appreciate your presence ๐Ÿฅ‚.

Enjoy your weekend.
 
Daktari kasema nikwambie boss unatakiwa kulala angalau masaa 8 , kwa umuhimu afya yako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Basi daktari wangu kanidanyanya....

Kaniambia nilale masaa 4-6 kwa siku nisizidishe nisipunguze.

Kila siku nalala masaa 4, mara chache sana nalala masaa 6.

Ngoja nimuulize Dr. Love anasemaje....
 
Angalia wine huwa inashusha vitu chini huko, ๐Ÿ˜

With Kasinde, bila hata wine vitu vinashuka vyenyeweee kila siku....

Maisha burudani kabisaaa ๐Ÿ˜….

Wine taaamun
 
Hujatuwekea wimbo wa dedication leo.
Ikawa asubuhi ikawa jioni....

Habari za jioni Kasiende, nzuri.

Waelekea wapi niunge tela...!!

(Kwani vipi...!! Kuingia tela huko vipii...!?) isiwe ishu...

Naenda kupata mlo wa jioni kisha amsha popo maana godoro limelowekwa linakauka kwa mwanga wa mwezi na nyota....

Huku na kule meza ikaandaliwa.....๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
View attachment 2008408


Baada ya hapo nikahamia kwenye mziki kunyoosha viungo huku vikilainishwa na kinywaji nyevu nyevu....๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
View attachment 2008407

Basi kimiminika kinashka huku viungo vinalainika huku nanyoosha viungo.....

Aliyefata tela kachemsha karudi kulala mie sina hata tone la usingizi ndo kwaanzaaa kumekuchaaa....

Basi kundi la wanaume wakaanza kuimba, bia tamuu..... nani kasemaaa....

View attachment 2008411

Mvinyo mtamiii weeweeee, ukikutana na mvinyo wa asali lazima uagane na nyonga....

Kitu lainiiii, nyororoooo, taaamuuuuu....
Imepoaaaaa, unaimeza bila kipiga funda aahahahahahahaaaa.

Mahaba mpaka pomoni...

Nimeshiba jamaniii, ila mpishi anaendelea tuu kupika....

Wine ๐Ÿท taaam ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹....๐Ÿ’•


Kasinde.
Kasie hujatuwekea dedication song leo...nakuwaga na throwbacks nzuri sana ukiwekaga zile link za youtube za soul
 
Hujatuwekea wimbo wa dedication leo.

Kasie hujatuwekea dedication song leo...nakuwaga na throwbacks nzuri sana ukiwekaga zile link za youtube za soul

Kweli u mfatiliaji mzuri wa maandiko ya Kasinde....

Muziki ni Mahaba na Mahaba ndo maisha ya Kasinde....

Dedication umepata sema jingine....๐Ÿ˜Š



Old School...

๐Ÿฅ‚.
 
Back
Top Bottom