Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 955
Kazi ipo mbona....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali yako ni mazuri sana lakini namshauri Mbunge huyu asiyajibu mpaka NEC watangaze kwamba kampeni zimeanza.
Nadhani Regia ameweza kuhimilia ukosoaji wa humu atakuwa ni kiongozi mzuri tu maana wengine wangekuja kwa hasira. Amepitia Tanuru la Kiranga.. and survived.. she will be able to handle anything coming her way. Keep it up na usije ukajikuta unamshyrose mtu! Unless it is absolutely necessary! You go girl! Got my support!
You have missed the point here my dear Mwanakijiji. Huyu kiranga hawezi kuwa benchmark ya kumfanya Regia awe mbunge mzuri. Wa kijani anawafaa akina Makamba huko huko CCM, kusiko na mwelekeo.
GS huyu dada Suzan Kiwanga anagombea wapi? Ama ndiye uliyeshinda kwenye kura za maoni?
Hujamjibu Mwana wa Mtama hapa!
:a s 41::a s 41::a s 41:mama susan kiwanga aliyegombea mwaka 2005 ndio niliyemshinda kwenye kura za maoni.yeye alipata asilimia 35 na mimi asilimia 65.
:a s 41::a s 41::a s 41:
Tafadhali naomba msiniulize nagombea jimbo gani. Ni jimbo moja la Mkoani, Wilaya yenye jimbo moja.. Zaidi ya hapo usiniulize.
Mgombea Ubunge(CHADEMA) Jimbo la Kilombero-Kilombero For Change(K4C)
OK since kipenga cha ubunge kimelia, sasa naona maswali yangu yatajibiwa.
Why do want to be Mbuge?
What experience make exceptional na wagombea wengine? Na kwa nini Kilombero wakuchague wewe?
Tell us in you 1st 100days in the Bunge what will be your core focus?
It's obvious that CCM will bring majority on the floor, tell us how you gonna battle the minority status?
Do you believe Tanzania is in poverty by choice or ? why or why not.
Mtanganyika, nina hakika mdogo wetu Regia ana uwezo wa kujibu haya maswali na kwa ufanisi mkubwa kabisa. Lakini kwa kuwa unasema kipenga cha kampeni kimeshalia, si ungempa nafasi autumie muda huu mfupi alionao kufikisha ujumbe kwa wana Kilombero badala ya humu JF ? Mimi nachukua nafasi hii kumtakia kila la heri Mbunge mtarajiwa Regia katika safari yake ya kuelekea mjengoni, Dodoma. Go Regia, Go !
Mazee unajuaje kama JF si media ya kuwafikishia wana Kilombero habari?
Ungekuwa na mantiki kama huyo mgombea mwenyewe angekuwa haonekani hapa kwa sababu ana campaign Kilombero, mgombea mwenyewe kajaa tele kama pishi ya mchele hapa, hata hiyo kampeni sijui anafanya saa ngapi, sasa midhali yupo hapa, aje kujibu maswali basi.
Au anataka kuendeleza habari za usiri mpaka kwenye kujibu maswali ?
Au kapelekea watu wamchongee majibu ?
Kamanda... we know kwamba regia bado kijana and may need alot of polishing and massaging kuiva kuwa wengine tulipoexpect... lakini naomba kwa sasa basi tumpe support kidogo na hasa psychological support ajitahidi...
she has a tough opponent and probably we can help her more through emails and financial support; I am sure he has grown alot by being here for sometime
what do you think?