Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Shukran mkuu wangu,
Haya wakazi wa Mwibara, huyu mgombea David Chiriko mbona jina hili sio geni kwangu au namchanganya..
 
Huna lolote! hilo ndo naweza kusema kwa sasa.
 
Wapenda maendeleo na mageuzi wote tupo nyuma yako tukikuombea, tunatamani kama tungeweza kuja na kushiriki katika kampeni zako lakini majukumu yanatubana. Mungu akutanguliea na utashinda kwa nguvu ya hoja.
 

Kweli kabisa, Ila kwenye Gamba la kijani simuungi mkono, maana anahitaji kutumia nguvu za ziada
au awe fisadi
Na kuanza ufisadi zama hizi inaelekea kula kwake

nami niungane na wenzangu, HONGERA GS. Huo ni mwanzao Kaza Buti,
Waeleze wenye roho za kutoelewa magumu waliyonayo, Wabadilike
Waambie wasipobadili uelekeo huu tulionao basi tutapotea kama "dinosours " alivyopotea

Please Informa it is time for Change! Americans did, why not us?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tupe maendeleo yako mpaka sasa dada yetu
 

Huu mtindo ndio uliletwa na team ya Sen. McCain wakati watu wanataka kumuliza maswali Sarah Palin. Walimficha ficha walipo muachia akanguka kwenye mikono ya Katie Couric na ilikuwa aibu.

Hawa watu ndio wanakwenda kureview policy za nchi, wanakwenda kutengeza muhimili wa kutazama serikali kuu, hawa ni watu ambao wanakwenda kuandika na kufanya marekebisho ya kikatiba, hawa ni watu watakao kwenda kuhakikisha pesa za walipa kodi zimetumika kihalali.

NIAIBU tena AIBU kubwa kwa baadhi ya WANAJF kutetea vitu ambavyo havimake sense. Kama mnataka mtu asijibu maswali basi nendeni mkanywe naye chai huko.
 

mafisadi nao kwa mapovu?!
 

Ukitaka kazi lazima upasi usaili, huwezi kutaka kazi lakini unaogopa usaili, tutaona huwezi kazi.
 
Huna lolote! hilo ndo naweza kusema kwa sasa.

Hii inamfanya Regia aonekane mtupu zaidi ya mtu asiye na lolote, maana kashindwa kujibu hoja na maswali kutoka kwa mtu asiye na lolote.

Ina maana yeye yuko less than mtu asiye na lolote.
 
Hii inamfanya Regia aonekane mtupu zaidi ya mtu asiye na lolote, maana kashindwa kujibu hoja na maswali kutoka kwa mtu asiye na lolote.

Ina maana yeye yuko less than mtu asiye na lolote.

Na kwa ushindi huu wa hii ligi, Kiranga anapewa zawadi ya mchuchu:

 
Na kwa ushindi huu wa hii ligi, Kiranga anapewa zawadi ya mchuchu:


Matatizo akili zote ziko katika korodani, kila kitu unaona zawadi yake kuongeza wakinamama.

Wengine hatuamini katika ligi wala kuongeza wakinamama.
 
Matatizo akili zote ziko katika korodani, kila kitu unaona zawadi yake kuongeza wakinamama.

Wengine hatuamini katika ligi wala kuongeza wakinamama.

He he he he he he .... invisible yuko wapi. Kuna mtu katamka (..... sitaki kusema hili neno nisijefungiwa kama invisible alivyofanya baada ya kulitamka) hadharani. Zawadi yake ni nini?

Kiranga ... mimi na wewe hii ligi mpaka kieleweke tu.
Hapa nilipo nakutafutia zawadi nyingine na nitakuwekea tu baada ya muda. Kazi unayomfanyia Kikwete hapa inabidi upate zawadi kubwa sana.
 
Na kama nilivyoahidi,

Zawadi ya pili kama utamshinda NN kwenye ligi inayofuata:

 
Nilimtetea Dada Regia asitupwe kirahisi baada ya kushinda kura za maoni.............kwani mimi ni mpenzi wa Demokrasia.........however jinsi mtiririko wa habari zinavyoenda kwenye mada hii..........naanza kuwa na wasi wasi ya kwamba Majambazi CCM wakikumbana na huyu Dada yetu kwenye kinyan'ganyiro cha ubunge...........yatakuwa (Majambazi CCM) kama yanamsukuma mlevi vile..............nilichoshwa sana hasa pale Dada Regia alipouliza swali extremely basic la kikatiba..........ambalo kw amtizamo wangu alitakiwa ajue...........especially kama ndio ameamua kuyavulia maji (Siasa)............
 
Ndio Tanzania yetu hiyo.... Nilishamwambia Zitto once nilipokutana naye, upinzani sio lelemama. Sasa matokeo yake ndio mnatuletea watu kama hawa.

Then mnashangaa kwa nini Bunge likianza tuu watu kama hawa wanakuwa kitanda kimoja na CCM.

I better take a day off.
 

Ha ha ha,

Unataka kuanza ligi nyingine .... ngoja nikupe topic:

Kati ya Zitto Kabwe na January Makamba nani zaidi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…