Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Nawashukuru wote.Nimezingatia maoni ya wenfi humu.Nimekuja na jina langu halisi hivyo GS imeshakufa haitakuwepo tena.

Historia kwa Ufupi sana.
Kifupi mimi ni Regia Estelatus Mtema,tuko twins na dada yangu ambaye yeye ni Kulwa mimi ni Dotto.Ni Watoto wa kwanza wa Bw Estelatus Mtema.Kabila langu ni Mmbunga niliyechanganyika na Mmanda.Nimezaliwa tarehe 21/04/1980 Ocean Road Hosp Dar.

Nilivunjika mguu mwaka 1987 wakati nacheza mpira(rede) na hivyo kulazimika kukatwa mguu.

Elimu.
Nimesoma shule ya Msingi Mchikichini Dar 1989-1995
Shule ya Sekondari Forodhani Dar- 1996-1999
Shule ya Wasichana Machame Moshi-2000-2002
Elimu ya Juu,Chuo KIkuu cha Kilimo Sokoine(SUA) 2003-2006-Digrii ya Uchumi na Lishe

Joined CHADEMA 2005 baadaye nikamua kujitolea kufanya kazi Makao Makuu 2007 mpaka sasa.

Sijaolewa wala sina mtoto.

Alunta continua

..........Hongera my sista kwa kuwa muwazi na kuamua kutoa jina lako kamili .Kila la heri......hakika utafanikiwa tu kuingia mjengoni.
 
Hata kama si mimi, kuna muungwana (ambaye hatuna uhakika kama yupo au umemtunga tu kujipatia haiba) ukweli utabaki kwamba si wewe uliyetaka kujiweka wazi, watu wengine wamekushikia bango na kukusulubu ndio ukajiweka wazi.

Ushajionyesha huna initiative tayari, hauko proactive, huna msisimko, mpaka watu wakushikie bango ndiyo una act.

Hardly leadership qualities.

I am sorry If I am being too harsh on you, but I hope you take my views as constructive criticism and learn from these exchanges.

Ama sivyo unaweza kuingia bungeni ukawa passive hivi hivi bila kufanya lolote, unangoja watu wakushikie bango, na watanzania wasivyojua kushika bango miaka mitano inapita hujafanya kitu.

That is ukiingia mjengoni, inawezekana hii passive nature ikaharibu hata campaign yako isifike mbali.

Kiranga sijui ni kwanini mimi nawewe huwa hatuelewani..Nimesema kuna mtu alijenga hoja zilizoenda shule na ninarafiki yangu wa karibu,wala sijatunga nitunge ili iweje?ooh no..Sikutaka kujitaja wala sio kwamba sina msisimko ningekuwa sina wala nisingethbutu kugombea at the first place.Nilijificha kwa sababu ninazozijua mimi,mbona kule face book nilijiweka wazi?mbona kwenye vyombo mbalimbali habari ziko wazi?Ha ha ha,siko proactive,sina initiative,kugombea sio kitendo cha kishujaa,wewe unafikri kutaja jina lako halisi JF ndio initiative?hivi wewe umeanzisha nini cha maana hata humu Jf tu?

Mimi siko kama unavyoniweka,jaribu kufuatilia posts zangu zote humu na waulize watu wa karibu wanaonifahamu kama vile Mnyika,Dr Slaa,Mbowe,Zitto na wengineo wa CHADEMA na niliosoma nao wa kuanzia shule ya msingi haid chuoni they will tell you,Regia ni mtu wa namna gani..

Kifupi ni kwamba hoja zako wala sio costructive kama unavyodhani bali bi destructive...Kuniambia kwamba eti naweza nisifike mbali kwenye kampeni zangu hivi unafikiri hii inajenga?kisa eti nikubaliane na mawzo yako.Be blessed..
 
Dada yangu lazima nikuchangie kilo moja (fedha ni nini bwana!) Ni PM njia ya kukutumia ili nikipata tu niwe nakumuvuzishia

Ok nimeshaona Account yako, lakini hawa NBC na NMB bwana wako slow sana afadhali CRDB. Vipi MPesa ?

Shalom asante sana na MUNGU akubariki sana.

Kwa bahati mbaya sana Wilayani kwetu kuna benk ya NMB peke yake,CRDB ndio wanafungua sasa.Hivyo nikiwa jimboni NMB ndio njia muafaka.

MPESA ni 0753 760534 lakini pia hii sio reliable sana.

Tuko pamaoja
hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Hongera sana Ms Regie

Kuna jinsi maongezi yako na Kiranga ulivyo respond yamenipa imani kuwa ni mtu makini na si rahisi kuyumbishwa maana the guy he came swinging into you.
Pia umefanya la maana sana kuweka jina lako halisi + pic of course this meaning a lot to me and me be to a most of us too.
Ningependa kuchukua nafasi hii kusema you look nice and sexy on the pic ,its just complement I'm not seducing althought if wouldn't be married I may I 'd ask you to.(Pls take this POSITIVE)
Mwisho I pledge my support, and thats 'll be money .Please advice me if western union is ok for you cause I'm afraid you gonna be busy.
Nakutakia kampeni njema ,na imani kuna kitu kinaniambia utashinda ila bidii ni muhimu siku zote jamaa wa CCM ni wezi sana so careful matumaini yetu yabaki ukweli .
 
Ndio wapiga kura wetu hawa, no depth at all.Wakimuangalia mgombea kitu cha kwanza wanachokiona ni a sexual object.

"if wouldn't be married I may I 'd ask you to" unajichoresha tu ki buffoon. Iddi Amin style.

Someplaces you can get a lawsuit for some shyt like that.

Na mjadala wangu umesaidia kumuonyesha huyu dada kama mtu ambaye personally hawezi mikiki, mtu anataka kulia kwa maneno ya JF hapa? Akiingia mjengoni na kukutana na washashi washakunywa maji ya Kingumge Ngombale Mwiru si ata pull a Palin huyu na kutoka nje mkuku ?
 
...Hivi mnafikri Ubunge ni kitu cha kutisha sana eeeh...
Yale yale!​
attachment.php

.....Wewe endelea kubeba hiyo mizigo ya mabosi wako hapo.....
Tunaaswa kuchangia hii kampeni kumbe kidada chenyewe kihuni-huni tu...
 
Na mjadala wangu umesaidia kumuonyesha huyu dada kama mtu ambaye personally hawezi mikiki, mtu anataka kulia kwa maneno ya JF hapa? Akiingia mjengoni na kukutana na washashi washakunywa maji ya Kingumge Ngombale Mwiru si ata pull a Palin huyu na kutoka nje mkuku ?

No,

Mjadala wako umeuonesha kuwa huyu dada can stand up even the most extreme views for as long as it takes.

So far

Huyu dada 2 kiranga 0
 
NN,

She will be alright ... u have to expect (be prepared for) people like tindikali and kiranga to be everywhere.

So far, I think she is doing fine.

Yeah I know...

Afterall she is a big girl....if she can handle Kiranga and Mtindimkali, then I'm sure she can handle just about anyone and anything...

Go Regia go....mpaka kieleweke.
 
Ndio wapiga kura wetu hawa, no depth at all.Wakimuangalia mgombea kitu cha kwanza wanachokiona ni a sexual object.

"if wouldn't be married I may I 'd ask you to" unajichoresha tu ki buffoon. Iddi Amin style.

Someplaces you can get a lawsuit for some shyt like that.

Na mjadala wangu umesaidia kumuonyesha huyu dada kama mtu ambaye personally hawezi mikiki, mtu anataka kulia kwa maneno ya JF hapa? Akiingia mjengoni na kukutana na washashi washakunywa maji ya Kingumge Ngombale Mwiru si ata pull a Palin huyu na kutoka nje mkuku ?

Kiranga unaniangusha sana, huyu dada alisitahili kutiwa moyo hasa ukizingatia anagombea ubunge. Huyu dada hataki kusubiri zile nafasi za upendeleo. Nampongeza hasa kwa kuwa ameeleza vizuri kuwa hata kugombea ubunge inaonyesha ni mtu wa kutenda bila kuambiwa. Kama ni kulia si wa kwanza, alilia Pinda ni mwanaume atakuwa mwanamke. Kwanza yeye hajakwambia kuwa atalia. Na pia anaweza kulia kwa kutetea maslahi ya watanzania, kwa kushikilia hoja bungeni anayoamini itawakomboa watanzania.

Kiranga acha kumkatisha tamaa. Regina Songe Mbele, watanzania wako na wewe.
 
Kiranga sijui ni kwanini mimi nawewe huwa hatuelewani..Nimesema kuna mtu alijenga hoja zilizoenda shule na ninarafiki yangu wa karibu,wala sijatunga nitunge ili iweje?ooh no..Sikutaka kujitaja wala sio kwamba sina msisimko ningekuwa sina wala nisingethbutu kugombea at the first place.Nilijificha kwa sababu ninazozijua mimi,mbona kule face book nilijiweka wazi?mbona kwenye vyombo mbalimbali habari ziko wazi?Ha ha ha,siko proactive,sina initiative,kugombea sio kitendo cha kishujaa,wewe unafikri kutaja jina lako halisi JF ndio initiative?hivi wewe umeanzisha nini cha maana hata humu Jf tu?

Mimi siko kama unavyoniweka,jaribu kufuatilia posts zangu zote humu na waulize watu wa karibu wanaonifahamu kama vile Mnyika,Dr Slaa,Mbowe,Zitto na wengineo wa CHADEMA na niliosoma nao wa kuanzia shule ya msingi haid chuoni they will tell you,Regia ni mtu wa namna gani..

Kifupi ni kwamba hoja zako wala sio costructive kama unavyodhani bali bi destructive...Kuniambia kwamba eti naweza nisifike mbali kwenye kampeni zangu hivi unafikiri hii inajenga?kisa eti nikubaliane na mawzo yako.Be blessed..

Mimi nimeanzisha cha maana hapa JF kukulazimisha wewe utaje jina lako, sio tunauziana mbuzi ndani ya gunia hapa.

Tatizo letu hatuwezi kuchukua constructive criticism.Ukweli ni kwamba unavyojibu hoja, unavyolialia, ulivyokosa initiative unaoneka huna ukomavu kisiasa na hunipi imani kwamba utashinda Kilombero, siyo kwa spidi hii.

Kuna wengine tunatoa kitu na boksi. Watu kama wanakupigia kura wanakupigia kwa sababu mgombea wa CHADEMA tu, na labda kwa sababu CCM ni incumbent wamebweteka, lakini huwezi kuniambia mpaka sasa umetuonyesha qualities za leadership.

Leadership gani hii ya kutaka kulia kutokana na makombora ya Kiranga hapa?

Huwezi kutegemea watu tukuamini kwa kusema kuna mtu alijenga hoja zilizoenda shule, hata mtu mwenyewe huwezi kumtaja ingawa jambo lenyewe (hoja zilizoenda shule) si dhambi, na actually ni jambo la fahari, sasa hata huyu naye unataka kuleta usiri katika hili. Tunarudi kule kule tulikokataa, kwa kuuziana mbuzi kwenye gunia, hatujui kama unatudanganya au ni kweli.

Watu wanaenda kwa verification, usipoweza kutupa verification usituambie kitu, kama huwezi kututajia jina lako na jimbo unalogombea usituambie unagombea. Kama huwezi kutuambia hata JF name (not real name) ya huyu muungwana, unaonekana unatunga hadithi tu, huna verification.Utafika mjengoni na kusema mambo bila verification ? Mara nyingine hata kama unasema kweli, bila verification huwezi kujitenga na waongo, muulize Kubenea akupe uzoefu wake na hili. Kwa hiyo nikisema huna exposure unaonyesha wazi kwamba huna exposure kwa mambo kama haya na wala si kwamba nakuzushia.

Unataka niwaulize watu wa karibu kama wako biased je? Kuna mtu wa karibu kaja hapa kashtuka kukuona unagombea, ingawa na yeye tunaweza kumuomba ushahidi zaidi wa mshtuko wake, kama ni ule wa "namjua huyu alikuwa mzembe mzembe tu chuoni" au "huyu alikuwa na tabia mbaya hii na ile"

Of course utasema hoja zangu si constructive na ni destructive, si zinakuliza na huwezi kuzijibu. nimeonyesha kwamba huna initiative, nimeonyesha kwamba huna exposure, nimeonyesha kwamba huna kipaji cha kuku set apart ukawa muwakilishi wa watu. Hata mjadala wa JF kuufuatilia tu unakushinda.

Siri siri siri, siri moja baada ya nyingine.

Yaani hapa tunategemea chama tu, lakini mgombea hamna. Na kwa chama kuchagua mgombea aliye intellectually weak kama huyu, ambaye hana hata talent ya commanding respect in communication - something an MP is supposed to do a lot- hata chama nacho kinanionyesha kwamba kiko weak.
 
Kiranga unaniangusha sana, huyu dada alisitahili kutiwa moyo hasa ukizingatia anagombea ubunge. Huyu dada hataki kusubiri zile nafasi za upendeleo. Nampongeza hasa kwa kuwa ameeleza vizuri kuwa hata kugombea ubunge inaonyesha ni mtu wa kutenda bila kuambiwa. Kama ni kulia si wa kwanza, alilia Pinda ni mwanaume atakuwa mwanamke. Kwanza yeye hajakwambia kuwa atalia. Na pia anaweza kulia kwa kutetea maslahi ya watanzania, kwa kushikilia hoja bungeni anayoamini itawakomboa watanzania.

Kiranga acha kumkatisha tamaa. Regina Songe Mbele, watanzania wako na wewe.

Mimi sina tatizo na kumtia moyo mgombea mwenye kuonyesha potential, mwenye promise.

Lakini kwa huyu, sijui sana kuhusu mgombea wa CCM wa Kilombero, lakini itabidi awe extremely tactless ili huyu dada ashinde.

Kwenye ukweli ni lazima niseme kama ninavyojisikia, siwezi kushabikia mgombea ambaye haonyeshi promise kwangu, msiri msiri kila kitu, hajui kujinadi, hajui kujibu hoja, akipewa vibomba husika badala ya kujifunza anasusa na kuona kaonewa etc etc.

I am sorry lakini hapa hamna ushindi hapa, let's talk about somebody else in CHADEMA. Where Sugu @ ? Mbona siioni kampeni yake online?

Hivi CHADEMA hawana candidates kabisa au vipi? Inakuwaje mtu kama huyu anaenda kugombea ubunge? Akishindwa watashangaa kweli ?
 
Ndio wapiga kura wetu hawa, no depth at all.Wakimuangalia mgombea kitu cha kwanza wanachokiona ni a sexual object.

"if wouldn't be married I may I 'd ask you to" unajichoresha tu ki buffoon. Iddi Amin style.

Someplaces you can get a lawsuit for some shyt like that.

Na mjadala wangu umesaidia kumuonyesha huyu dada kama mtu ambaye personally hawezi mikiki, mtu anataka kulia kwa maneno ya JF hapa? Akiingia mjengoni na kukutana na washashi washakunywa maji ya Kingumge Ngombale Mwiru si ata pull a Palin huyu na kutoka nje mkuku ?

Looking good is added advantage you should know better than that.Next why you choose to go by the last the point ,why dont you go by the one I put first : "makini na asiye yumbishwa".
To me she look good , her hair is well done she look nice and sexy .Ndugu Kiranga dont tell me when I said SEXY you thought about SEX,poor Kiranga.Mtu akipendeza unamwambia kapendeza ndivyo mimi nafanya ,ndivyo namwambia dada yangu ,mke wangu.
Yes narudia tena umakini wake and the way she look ningekuwa sijaoa I'd ask her for that.But I'm married and my wife she is nice n sexy also makini na .............Na ndio maana nikasema its "just a compliment " na kikaomba ichukuliwe positive ,hili pia huelewi ,utakuwa kichwa ngumu kweli.
Where you can get law sue for compliment like that,I'm living in NY and this is how we do.

Mwisho you cant compare Regie with Sarah Palin ,Regie knows stuffs tumekuwa tuki brain storm hapa .Anyway how the H.E.L.L.O is Kingunge ,who cares about big name in CCM.To be upinzani thats mean you dont give dam about anybody in CCM.

You know what you need to listen to yourself when you talking,
Mjadala wako umesaidia to show how NEGATIVE you're :
Kuamini watu(Regie) hawezi kuimili mikiki where others (who are positive) beleave she is going to do good (we have reason to )
Kuwa negative about my compliment to Regie, nakuchukuwa compliment zango all the way your negative mind took you.

Ningependa hii thread iwe ya Regie not me ,usiharibu please .
 
Yale yale!​
attachment.php

Tunaaswa kuchangia hii kampeni kumbe kidada chenyewe kihuni-huni tu...

Tindikali unaona hapo mtu sivyojua kufikiri?

Wachangia kampeni wote.

1. Huyu dada anafikiri ubunge ni kazi ambayo mtu yeyote anaweza kufanya.
2. Zaidi ya hapo kawatusi walalahoi wote wenye kazi za hali ya chini.

Swali, anaenda kumuwakilisha nani huko bungeni ?

Ndio mbadala wenyewe huu ?
 
Anaenda kuwawakilisha wananchi wa Kilombero
 
Mimi sina tatizo na kumtia moyo mgombea mwenye kuonyesha potential, mwenye promise.

Lakini kwa huyu, sijui sana kuhusu mgombea wa CCM wa Kilombero, lakini itabidi awe extremely tactless ili huyu dada ashinde.

Huu ni mtizamo wako tu Kiranga na unachukuliwa hivyo.

Kwenye ukweli ni lazima niseme kama ninavyojisikia, siwezi kushabikia mgombea ambaye haonyeshi promise kwangu, msiri msiri kila kitu, hajui kujinadi, hajui kujibu hoja, akipewa vibomba husika badala ya kujifunza anasusa na kuona kaonewa etc etc.

Huwezi kuuliza maswali na pia ukalazimisha namna maswali hayo yatajibiiwa ... hata Bill O siku hizi ameanza kuwapa wageni wake nafasi ya kujibu maswali yao namna wanavyotaka.

Wewe unaweka standard zako ambazo tu ndizo zinatakiwa kufuatwa, how extreme can somebody be to be just like you?

I am sorry lakini hapa hamna ushindi hapa, let's talk about somebody else in CHADEMA. Where Sugu @ ? Mbona siioni kampeni yake online?

Hivi CHADEMA hawana candidates kabisa au vipi? Inakuwaje mtu kama huyu anaenda kugombea ubunge? Akishindwa watashangaa kweli ?

This Lady is doing just fine.... so far mimi niko happy with and for her.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom