Hivi Kiranga huwa unalala wakati gani yaani nimelala nimekuacha unabishana nimeamka bado unabishana tu, kama ni US wenzako ndio wanaamuka kama ni UK wamelala kama ni TZ wamelala sasa wewe huwa unalala saa ngapi na kazi unafanya saa ngapi. Unajua kulala ni kupumzisha akili labda ndiyo maana unaishia kubishana. Umekalia kubisha tuu kila kitu kinacholetwa na wengine ungekuwa unazungumza nafikiri mapovu yangekuwa yanakutoka mdomoni. Samahani wana jamvi kuwa off topic.
Quinine,
This forum needs Kiranga and Kiranga needs this forum. Itakuwa mbaya sana ukikosa watu kama Kiranga hapa jamvini. It is good for all of us. Ngoja akeshe na kulala hapa, si unajua tena anaandika kitabu, anahitaji sehemu ya kupanga mawazo yake vizuri (maoni yangu binafsi) na so far JF inampa hiyo opportunity.