Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hivi Kiranga huwa unalala wakati gani yaani nimelala nimekuacha unabishana nimeamka bado unabishana tu, kama ni US wenzako ndio wanaamuka kama ni UK wamelala kama ni TZ wamelala sasa wewe huwa unalala saa ngapi na kazi unafanya saa ngapi. Unajua kulala ni kupumzisha akili labda ndiyo maana unaishia kubishana. Umekalia kubisha tuu kila kitu kinacholetwa na wengine ungekuwa unazungumza nafikiri mapovu yangekuwa yanakutoka mdomoni. Samahani wana jamvi kuwa off topic.

Quinine,

This forum needs Kiranga and Kiranga needs this forum. Itakuwa mbaya sana ukikosa watu kama Kiranga hapa jamvini. It is good for all of us. Ngoja akeshe na kulala hapa, si unajua tena anaandika kitabu, anahitaji sehemu ya kupanga mawazo yake vizuri (maoni yangu binafsi) na so far JF inampa hiyo opportunity.
 
Unaona mshaanza kununua insurance policy, mgombea weak kichizi mshaanza ku insinuate CCM wataiba kura.

Kuiba kura kwa mgombea huyu ni kum flatter, huyu hana haiba ya kuibiwa kura, atawapa mwenyewe kwa gaffe zake.

Hajaomba radhi kwa jumuiya ya wabeba box bado, tunasubiri, hiki kiburi anatoa wapi hata mjengoni hajaingia bado?

Au nndiyo mambo ya "Sophia Simba hahitaji merit" haya ? Trouble is Sophia Simba ana ruling party, huyu naye ana nini? Helikopta ya CHADEMA?

Jumuiya imeitisha kikao cha dharura kujadili kuondoa mpango wa kumchangia mgombea huyu, mgombea ameonekana hana adabu wala hekima.
Much know nani akuombe radhi, si wewe uliyekuwa unataka GS ajitokeze kwa nia nzuri kabisa ili umpe ushauri wa kulichukua jimbo, leo badala ya kumshauri unaanza kum discourage na kumuita mgombea weak hiyo ndiyo adabu yako ilivyo. Hata kama unapewa hela ufanye kampeni humu ya kuwakwaza wenzako lakini chunga heshima yako na za wengine.
 
Mimi sina ugomvi, naepusha ugomvi.

Anaweza kwenda bungeni na kutukana watu wa nchi nyingine ikawa scandal mbunge wa Tanzania kawatukana waKenya, he mwisho ikawa vita.

I am not saying that will happen, but again I am using an extreme vehicle to illustrate a point.

Sasa ni bora kumuonyesha wazi kwamba huyu dada ana kidomo kisicho break wala kufikiri mara mbili na hajui diplomacy, atatulipukia huko mbele.

Siku akilipuka msiseme Kiranga hakuwaambia.

Bado sijamuona kuwaomba radhi jumuiya ya wabeba box yenye machungu sana baada ya kusalitiwa na kutusiwa na mtu ambaye walifikiri ni mpiganaji wao.

Mdada hajaingia mjengoni kashaanza kuwa snob wafanyakazi hivyo, je akiingia?

Anayewika kwa ku snob Wafanyakazi ni Kikwete, kumbe Regia wa CHADEMA naye yumo.

Jumuiya ya wabeba box ambao mimi ni mmoja wao... iko very okay na haijakuwa offended na kile alichosema huyu dada.

So far, jumuia hii inafurahia sana kuwa dada Regia anaongoza kwa bao tatu dhidi ya zero za Kiranga
 
Hhaha wewe kwenye jumuiya hufahamiki, hujalipa hata ada na kwa hiyo huna hata nguvu ya kupiga kura 🙂
 
Quinine,

This forum needs Kiranga and Kiranga needs this forum. Itakuwa mbaya sana ukikosa watu kama Kiranga hapa jamvini. It is good for all of us. Ngoja akeshe na kulala hapa, si unajua tena anaandika kitabu, anahitaji sehemu ya kupanga mawazo yake vizuri (maoni yangu binafsi) na so far JF inampa hiyo opportunity.
Unajua ee hata kama mtu unajuwa kitu fulani ni busara ukawaachia wengine nao sehemu yao ya kuchangia, sasa kama wewe ni wewe tu usiku na mchana kila thread yupo kila topic anaielewa tuseme yeye ni genius kuwa anajua kila kitu, thread ya post 60, 50 ni zake matokeo yake anatuletea utumbo tupu anarudia rudia yaleyale, thread kujadiliwa na mtu mmoja tuuu hainogi.
 
Mimi nimemzuia nani kuchangia? Niambie ni wapi nimemzuia mtu kuchangia?

Kama hujazoea enthusiastic exchanges hili ni tatizo lako, si langu. Tunahitaji passion zaidi katika debates za JF, sio pungufu.

Katika wewe kuniambia niwaachie wengine huoni kwamba ni wewe, na wala si mimi, anayetaka kuwazuia wengine wasichangie wanavyotaka ?
 
Mimi sina tatizo na kumtia moyo mgombea mwenye kuonyesha potential, mwenye promise.

Lakini kwa huyu, sijui sana kuhusu mgombea wa CCM wa Kilombero, lakini itabidi awe extremely tactless ili huyu dada ashinde.

Kwenye ukweli ni lazima niseme kama ninavyojisikia, siwezi kushabikia mgombea ambaye haonyeshi promise kwangu, msiri msiri kila kitu, hajui kujinadi, hajui kujibu hoja, akipewa vibomba husika badala ya kujifunza anasusa na kuona kaonewa etc etc.

I am sorry lakini hapa hamna ushindi hapa, let's talk about somebody else in CHADEMA. Where Sugu @ ? Mbona siioni kampeni yake online?

Hivi CHADEMA hawana candidates kabisa au vipi? Inakuwaje mtu kama huyu anaenda kugombea ubunge? Akishindwa watashangaa kweli ?

Kiranga unamfahamu historia yake hata umuhukumu wakati kampeni haijaanza? Haya ''mkulu'' aliongea vizuri Dodoma mwaka 2005 amefanya nini hadi sasa? Unakataa kitabu kwa kuangalia jalada lake la nje? halafu unamhimiza Regina afanye kampeni sasa huku unafahamu muda wa kampeni bado unataka kumwangamiza? Marehemu Amina Chifupa alikuwa kijana kama huyu, haukumbuki aliweza kuwa jasiri wa kukabili masuala makubwa?. Mwache dada ajiandae, mpe moyo muda huu. Si haki kumkatisha tamaa wakati watakao gombea naye hausemi chochote juu yao. Subiri kama unataka uwaongelee wote hapo utakuwa umetenda kwa usawa. Kwa sasa unakandamiza upande mmoja na unakuwa kama unatenda uonevu. Subiri tafadhali, filimbi haijapigwa.
 
Mimi nimemzuia nani kuchangia? Niambie ni wapi nimemzuia mtu kuchangia?

Kama hujazoea enthusiastic exchanges hili ni tatizo lako, si langu. Tunahitaji passion zaidi katika debates za JF, sio pungufu.
Toka na passion zako wakati mwingine unakera bana, kumzuia mtu si lazima umwambie ile kujifanya much know inatosha kuwafanya watu wakuangalie kama senema, kuna sehemu Mwafrika alisema anapokukuta kwenye thread sometimes huwa anakuacha kwa vile anakujua tabia yako, huoni hiyo siyo sifa nzuri? yeye ka dare kukuambia wangapi hawakuambii.
 
Kitu pekee kinachokera hapa ni inferiority complex yako, unashindwa debate unataka kunyamazisha watu kwa nguvu.

Mtu anayesema anaponikuta kwenye thread ni lazima atakuwa either snob au hana point za kukabiliana nami.

Sifa nzuri au mbaya kwa mujibu wa nani? 70% bendera kufuata upepo ? Mi sihofii kusemwa vibaya na wala sitafuti kusemwa vizuri, mi natoa kitu na boksi ninavyokiona mimi, kazi kwako. Unapambana na nature ya mtandao, nature ya mtandao ni uhuru wa maoni, kila mtu ajinafasi kwa uwezo wake, soma juu pale "We Dare To Talk Openly"
 
Kiranga unamfahamu historia yake hata umuhukumu wakati kampeni haijaanza? Haya ''mkulu'' aliongea vizuri Dodoma mwaka 2005 amefanya nini hadi sasa? Unakataa kitabu kwa kuangalia jalada lake la nje? halafu unamhimiza Regina afanye kampeni sasa huku unafahamu muda wa kampeni bado unataka kumwangamiza? Marehemu Amina Chifupa alikuwa kijana kama huyu, haukumbuki aliweza kuwa jasiri wa kukabili masuala makubwa?. Mwache dada ajiandae, mpe moyo muda huu. Si haki kumkatisha tamaa wakati watakao gombea naye hausemi chochote juu yao. Subiri kama unataka uwaongelee wote hapo utakuwa umetenda kwa usawa. Kwa sasa unakandamiza upande mmoja na unakuwa kama unatenda uonevu. Subiri tafadhali, filimbi haijapigwa.

Mtu akishaanza kujikojolea kwenye serawili zaidi ya mara moja wkati anawahutubia mkutanoni huhitaji hata kujua sana historia yake ili kujua kwamba hafai.

Historia ni muhimu, lakini anachoweza kufanya sasa hivi ni muhimu zaidi. Hawezi mjadala, si umemuona kakimbia anajua akija hapa atasulubiwa.

Kwanza anatakiwa kuomba msamaha kwa jumuiya ya wabeba box kwa kuwakashifu.
 
Kitu pekee kinachokera hapa ni inferiority complex yako, unashindwa debate unataka kunyamazisha watu kwa nguvu.

Mtu anayesema anaponikuta kwenye thread ni lazima atakuwa either snob au hana point za kukabiliana nami.

Sifa nzuri au mbaya kwa mujibu wa nani? 70% bendera kufuata upepo ? Mi sihofii kusemwa vibaya na wala sitafuti kusemwa vizuri, mi natoa kitu na boksi ninavyokiona mimi, kazi kwako. Unapambana na nature ya mtandao, nature ya mtandao ni uhuru wa maoni, kila mtu ajinafasi kwa uwezo wake, soma juu pale "We Dare To Talk Openly"
pumba
 
Mtu akishaanza kujikojolea kwenye serawili zaidi ya mara moja wkati anawahutubia mkutanoni huhitaji hata kujua sana historia yake ili kujua kwamba hafai.

Historia ni muhimu, lakini anachoweza kufanya sasa hivi ni muhimu zaidi. Hawezi mjadala, si umemuona kakimbia anajua akija hapa atasulubiwa.

Kwanza anatakiwa kuomba msamaha kwa jumuiya ya wabeba box kwa kuwakashifu.
Hebu tuondolee mifano isiyo na adabu umeishiwa kalale.
 
Mods mnaonaje kama m2 anaenda oof topic bila kuomba radhi mka nulify post yake? naangalia mtiririko naona Thread iliyoanzishwa na vinavyo ongelewa ni vitu viwuli tofauti kabisa!!
 
Mods mnaonaje kama m2 anaenda oof topic bila kuomba radhi mka nulify post yake? naangalia mtiririko naona Thread iliyoanzishwa na vinavyo ongelewa ni vitu viwuli tofauti kabisa!!
We dare talk open, mfano posts gani hizo?
 
hivi kiranga huwa unalala wakati gani yaani nimelala nimekuacha unabishana nimeamka bado unabishana tu, kama ni us wenzako ndio wanaamuka kama ni uk wamelala kama ni tz wamelala sasa wewe huwa unalala saa ngapi na kazi unafanya saa ngapi. Unajua kulala ni kupumzisha akili labda ndiyo maana unaishia kubishana. Umekalia kubisha tuu kila kitu kinacholetwa na wengine ungekuwa unazungumza nafikiri mapovu yangekuwa yanakutoka mdomoni. Samahani wana jamvi kuwa off topic.

huyu anafanya kazi maalum kwa ccm na inawezekana ki kikundi wanatumia jina moja ,yaani ni kama amesetiwa kusema maneno fulaani tu kuelekea upinzani ,fuatilia thread zingine utaona ,nenda kwenye thread ya shibuda ahamia chadema na zinginezo utaona.
 
we dare talk open, mfano posts gani hizo?

post zako ,listen to yourself just like dirty l.e.s.b.i.a.n there is no good why to classify you .unachificha kwenye kivuli "we dare to talk open" dont hide in that name ! You dont talk open ,you talk full of shit.
 
mmmmh kiranga kama mashambulizi yako umeyaelekeza sipo hivi!?

Nafikiri huwezi kumtaka mtu abadilike 'uwezo' wake........tukichukulia kuwa ameweka juhudi zote lakini amefika kuwa na Uwezo huo unaouona( hana exposure, hajui kujieleza, akiingia kwenye debate analia lia, ...........- if indeed this is true) basi kosa ni la chama chake.

Nafikiri tunaweza kuilaumu chadema kwa
kutuwekea mtu below par (if she is) labda kwa kuwa hawakuwa na choice nyengine kwa sababu she is the best among waliojitokeza kuwania nafasi hiyo
(hapa pia linakuja suala la how big was their sample. best amoung two? the only contender? ............)

and if you want to stretch the point unaweza kutoa lawama kwa watu wote wa Kilombero, kwa kushindwa kutoa mgombea bora zaidi ya huyo aliyejitokeza sasa

in short ni kuwa you cant blame a machine for its low COP but the maker for not making a better machine
 
Of course utasema hoja zangu si constructive na ni destructive, si zinakuliza na huwezi kuzijibu. nimeonyesha kwamba huna initiative,exposure nimeonyesha kwamba huna , nimeonyesha kwamba huna kipaji cha kuku set apart ukawa muwakilishi wa watu. Hata mjadala wa JF kuufuatilia tu unakushinda.

.

Kiranga nimejaribu kufuatilia hoja zako kuhusu Regia, nasikitika kuwa zina harufu ya wivu. Ukiacha hivi vimaneno vya kiingereza ulivyoweka hapa, basi huna hoja kabisa. Kwanza naamini nivi vimaneno umevikariri, sidhani kama unaelewa maana yake...

Labda ututhibitishie kuwa unamfahamu Regia zaidi ya huku kwenye internet, lakini huwez sema mtu hana initiative kwa sababu amekubali ushauri aliyopewa, au hana exposure (husemi kwa nini).

Lakini nahisi pia kwamba inaweza kuwa unatumiwa na baadhi ya wapinzania wa Regia. Kama ndivyo, wasiliana na Malaria sugu, na Tumain wakuambie wao wanalipwa kiasi gani isijekuwa unadhulumiwa ndugu yangu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom