Nimeshindana na Clearing agent

Nimeshindana na Clearing agent

Joined
Aug 15, 2015
Posts
14
Reaction score
10
Kama kichwa kinavyojieleza. Nimeagiza gari japan, na inatarajiwa kufika tar 7 Nov.

Document zilishafika kama week moja iliyopita nikampa agent kwa ajili ya clearing, aliniambia gharama ni laki 2 tu. Sasa analazimisha nilipe mil moja jumla na gharama zake, na mm nimemwambia siwez kumtumia pesa nitalipa mwenyewe atume invoice naona amepaniki na amesusa kazi.

Nimemwambia anipe document zangu nitafute mtu mwingne, anadai haiwezekani kwasababu tauari ameshasajili kwenye syatem labda nilipie amendment fees. Kwa wenye uzoefu nipeni way foward, Je ni kweli kwa point hii ukishasajili maombi kwenye system huwezi kubadili agent? Na je nikiamua kulipa amendment fees itakua kama sh ngap huko kwenye syatem ili niachanae nae nianze upya?

Maana ananiambia tena mara pesa za kuhonga bandarini kwa ajili ya nn?
 
Makubaliano ya hiyo fee ya 200K mlitakiwa muwekeane saini.

Hata ukimpeleka polisi au mahakamani anaweza kukana labda awe amekutumia kwenye sms.

Ila kama ni mdomoni ni ngumu sana kuthibitisha kama mlikubaliana kiasi hiko.

Ningekuwa mimi ningeshamchapa vibao na kazi angeifanya.

Hayo mengine siyajui.
 
1. ni kampuni ipi uliotumia
2. Ma clearing agent wengi ni wezi na tamaa yautajiri
3. Amendment fees sio ghali sana
 
Niko napambana nae, nitakuja kulitaja kampuni lao soon after wakisha clear mzigo wangu.
 
Ma agent wote ni wajanja wajanja.

Inabidi uwe mkali Sana la sivyo a takupigia.

Ni kawaida mno agent kukuomba hela ya kuhonga wakati tayari mzigo Umeshapata release.

Atakuambia kuna afisa flani wa mamlaka flani anataka milioni ndo atupe release. Ukimtumia pesa anaweka mfukoni.

Kama unaamini kila kitu kiko Sawa kwa nyaraka na kila kitu kuwa mkali la sivyo utapigwa.
 
Mimi kitu kama gari sitakagi stress na clear mwenyewe kwa mfumo wa kugongeshea... natafuta kampuni tu nawapoza kidogo.. wanalog documents zangu... kisha vilivyobaki vyote nafanya mwenyewe kwa kupoza masela wenye vitambulisho vya port vihela viduchu
 
Of course gharama za C&F agent huwa zinacheza kwenye 200K.

But kama amekwambia ni milioni moja, mwambie akutumie invoice ambayo itaenlist vikolombwezo vyote.... Ili ujue hiyo one M imegharimu nini na nini.

Ingawa kiukweli ukitoa CIF cost, na TRA costs, huwa kuna kama 1 milioni costs za bandari huwa zinakuwa associated C&F agency fee inclusive.
 
Duh we ki'hippopotamus
 
Duh we ki'hippopotamus

Hakuna kazi nyepesi kama ku clear gari...agent wanaibia sana wateja... na kuna wengine wanapigwa zaidi wanaemuachia agent kila kitu hadi gari amuagizie agent...

Ku clear gari ni kazi nyepesi sana.. maana kila kitu kiko wazi
 
Hapo wote mna shida, makubaliano ya 200,000/- yalitakiwa yagharamie vitu gani?

Kuna zile gharama za forodha, matumizi ya bandari usajili wa gari n.k hivyo vyote ulimpa awali au baada ya CIF ndio umemkabidhi 200,000/-?

Kaeni mezani mueleweshane taratibu. Kunaweza kukawa na upigaji au kutokuelewana utaratibu unavyoenda.
 
Of course gharama za C&F agent huwa zinacheza kwenye 200K.

But kama amekwambia ni milioni moja, mwambie akutumie invoice ambayo itaenlist vikolombwezo vyote.... Ili ujue hiyo one M imegharimu nini na nini.

Ingawa kiukweli ukitoa CIF cost, na TRA costs, huwa kuna kama 1 milioni costs za bandari huwa zinakuwa associated C&F agency fee inclusive.
Ila hizi gharama zingine si hua zinategemea CBM
 
Hakuna kazi nyepesi kama ku clear gari...agent wanaibia sana wateja... na kuna wengine wanapigwa zaidi wanaemuachia agent kila kitu hadi gari amuagizie agent...

Ku clear gari ni kazi nyepesi sana.. maana kila kitu kiko wazi
Dah nakuja inbox unipe namba tushauriane unipe mbinu nijifunze maana last time nilitumia agent ila alikuwa mstaarabu tu.
 
Back
Top Bottom