Nimeshindwa kesi ya jamaa aliyezikwa kwenye site ya kaburi langu

Watu weusi wanawaza kufa tu ndiomaana hatuna maendeleo.
Takwimu toka Serikakini zinasema wazee zaidi ya miaka 60 nchini ni asilimia 8 tu.
Wazee miaka 70+ asilimia 1
 
nitafute nikupe mahala, ila Kila mwaka utalilipia 500k ukiwa hai, pana bustani nzuri yakupendeza, upepo murua, pasafi muda wote, kuna fence yakupendeza ( wale wafanya wa makafara hawawezi kuingia), Kuna mabembea na sehemu ya kufanyia picnic ndugu na jamaa wakija kukutembelea.
 
Baba yangu mzazi alihamia Dar es salaan mwaka 1968, akiwa kijana,

Tangu miaka hiyo mpaka anazeeka alienda kwao nara chache sana,niseme tu hakupapenda kwao,maana hakujenga hata slope kule kijijini.

Siku zote alikuwa akisema akifa azikwe hukuhuku mjini,manispaa ya ubungo kuanzia kimara mpaka kibamba walikuwa wanazika tu nyumbani kama una eneo kubwa,

Korona ya nwaka 2021 ikaondoka na mzee,tukafuatilia kibali cha mazishi ili tumzike nyumbani,wakatukatalia wakisena huu sasa ni mji na ni manispaa japo aliacha eneo kubwa tu,tukaenda kumzika makaburi ya umma.

Pembeni yake palikuwa wazi nikapalipia ili nikifa nizikwe karibu na mzee maana mi sina kwetu.??

Hiki ni kitu cha kawaida sana,wengi wanaozikwa kinondoni cemetry walishalipia site zao kitambo,kwa ufupi pameshajaa kabla ya kujaa,sio kitu kipya,mji unakua na maeneo ya kuzikia hakuna.
Chimbo jipya sasa kwa wakazi wa jimbo la kawe na maeneo jirani ni makaburi ya kondo.

Turudi kwenye mada,sasa mwaka jana nikakuta site yangu kuna kaburi jipya,Nikaanza fujo fujo mpaka baraza la usuluhishi la kata

kufuatilia nyaraka sijalipia ada ya mwaka 2022 ada ndogo tu ya 10000 kila mwaka.huwa wanaweka ada ya kila nwaka kama kuhakiki kuwa huyu mmiliki yupo hai au alishajufa,badhani hata NSSF wana huo utaratibu wa kulipa mafao baada ya uhakiki.

Wananzengo ndio hivyo nimeshakosa haki yangu nikifa nizikeni popotetu
Nimeuliza unakufa lini kimya kuna nafasi makaburi ya sinza tena barabarani tu ... miti ya upepo .... kufa hata leo tunakuweka pale .. watu ni wengi so kufa leo au kesho tukupe kaburi sinza kwa wajanja marehemu uenjoy
 
Tutakutupa tu porini uliwe na fisi mkuu,imeisha hiyo...
 
Nimeuliza unakufa lini kimya kuna nafasi makaburi ya sinza tena barabarani tu ... miti ya upepo .... kufa hata leo tunakuweka pale .. watu ni wengi so kufa leo au kesho tukupe kaburi sinza kwa wajanja marehemu uenjoy

Pale hata akitaka ile huduma usiku anaipata, alitoka anavuka tu barabara ng'ambo ya pili au anatembea kwa miguu kuelekea maeneo.
Pale mjini kabisa.
 
Baba yangu mzazi alihamia Dar es salaan mwaka 1968, akiwa kijana,

Tangu miaka hiyo mpaka anazeeka alienda kwao nara chache sana,niseme tu hakupapenda kwao,maana hakujenga hata slope kule kijijini.

Siku zote alikuwa akisema akifa azikwe hukuhuku mjini,manispaa ya ubungo kuanzia kimara mpaka kibamba walikuwa wanazika tu nyumbani kama una eneo kubwa.

Korona ya nwaka 2021 ikaondoka na mzee,tukafuatilia kibali cha mazishi ili tumzike nyumbani,wakatukatalia wakisena huu sasa ni mji na ni manispaa japo aliacha eneo kubwa tu,tukaenda kumzika makaburi ya umma.

Pembeni yake palikuwa wazi nikapalipia ili nikifa nizikwe karibu na mzee maana mi sina kwetu?

Hiki ni kitu cha kawaida sana,wengi wanaozikwa kinondoni cemetry walishalipia site zao kitambo,kwa ufupi pameshajaa kabla ya kujaa,sio kitu kipya,mji unakua na maeneo ya kuzikia hakuna. Chimbo jipya sasa kwa wakazi wa jimbo la kawe na maeneo jirani ni makaburi ya kondo.

Turudi kwenye mada,sasa mwaka jana nikakuta site yangu kuna kaburi jipya,Nikaanza fujo fujo mpaka baraza la usuluhishi la kata.

kufuatilia nyaraka sijalipia ada ya mwaka 2022 ada ndogo tu ya 10000 kila mwaka.huwa wanaweka ada ya kila nwaka kama kuhakiki kuwa huyu mmiliki yupo hai au alishajufa,badhani hata NSSF wana huo utaratibu wa kulipa mafao baada ya uhakiki.

Wananzengo ndio hivyo nimeshakosa haki yangu nikifa nizikeni popotetu.
Aisee,usijali utazikwa tuu!
 
Bwana eeh
Usiwe na jakamoyo. Wewe kufa hata kama familia watakususa, sisi wazee wa site tutakufukia kwa heshima zote....
 
Tutakuzika makaburi ya Kondo, bado yana nafasi
 
Pole sana.

Ila kama bado una nia ya kuzikwa na mzee wako unaweza kufanya moja ya mambo haya:
1. Ukifa omba wachome maiti yako ndugu zako wachukue majivu kidogo wakazike alipozikwa mzee wako. Majivu mengine wanaweza kusambaza nyumbani kwako unapoishi

2. Ukifa wafukue hilo hilo kaburi la mzee wako wakuzike hapo na wewe. Kama itakuwepo mifupa ya mzee wako wanaifukia tu na pamoja na mwili wako
 
Fanya homa kufuatilia usije ukafa hujapapata ..
 
Pole sana.

Ila kama bado una nia ya kuzikwa na mzee wako unaweza kufanya moja ya mambo haya:
1. Ukifa omba wachome maiti yako ndugu zako wachukue majivu kidogo wakazike alipozikwa mzee wako. Majivu mengine wanaweza kusambaza nyumbani kwako unapoishi

2. Ukifa wafukue hilo hilo kaburi la mzee wako wakuzike hapo na wewe. Kama itakuwepo mifupa ya mzee wako wanaifukia tu na pamoja na mwili wako
Maamuzi mujarabu ila Magumu
 
Back
Top Bottom