Nimeshindwa kesi ya jamaa aliyezikwa kwenye site ya kaburi langu

Watu weusi wanawaza kufa tu ndiomaana hatuna maendeleo.
Takwimu toka Serikakini zinasema wazee zaidi ya miaka 60 nchini ni asilimia 8 tu.
Wazee miaka 70+ asilimia 1
 
nitafute nikupe mahala, ila Kila mwaka utalilipia 500k ukiwa hai, pana bustani nzuri yakupendeza, upepo murua, pasafi muda wote, kuna fence yakupendeza ( wale wafanya wa makafara hawawezi kuingia), Kuna mabembea na sehemu ya kufanyia picnic ndugu na jamaa wakija kukutembelea.
 
Nimeuliza unakufa lini kimya kuna nafasi makaburi ya sinza tena barabarani tu ... miti ya upepo .... kufa hata leo tunakuweka pale .. watu ni wengi so kufa leo au kesho tukupe kaburi sinza kwa wajanja marehemu uenjoy
 
Tutakutupa tu porini uliwe na fisi mkuu,imeisha hiyo...
 
Nimeuliza unakufa lini kimya kuna nafasi makaburi ya sinza tena barabarani tu ... miti ya upepo .... kufa hata leo tunakuweka pale .. watu ni wengi so kufa leo au kesho tukupe kaburi sinza kwa wajanja marehemu uenjoy

Pale hata akitaka ile huduma usiku anaipata, alitoka anavuka tu barabara ng'ambo ya pili au anatembea kwa miguu kuelekea maeneo.
Pale mjini kabisa.
 
Aisee,usijali utazikwa tuu!
 
Bwana eeh
Usiwe na jakamoyo. Wewe kufa hata kama familia watakususa, sisi wazee wa site tutakufukia kwa heshima zote....
 
Tutakuzika makaburi ya Kondo, bado yana nafasi
 
Pole sana.

Ila kama bado una nia ya kuzikwa na mzee wako unaweza kufanya moja ya mambo haya:
1. Ukifa omba wachome maiti yako ndugu zako wachukue majivu kidogo wakazike alipozikwa mzee wako. Majivu mengine wanaweza kusambaza nyumbani kwako unapoishi

2. Ukifa wafukue hilo hilo kaburi la mzee wako wakuzike hapo na wewe. Kama itakuwepo mifupa ya mzee wako wanaifukia tu na pamoja na mwili wako
 
Fanya homa kufuatilia usije ukafa hujapapata ..
 
Maamuzi mujarabu ila Magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…