Nimeshindwa kuelewa kabisa aisee

Nimeshindwa kuelewa kabisa aisee

Huyu ndio wakumuweka kwenye propaganda za vyama hasa CCM ,maana limekubuhu kwa uongo.
Huyu anaweza kuanza kwa kuiponda CCM kwa madudu yake halafu akahitimisha kwa kuipongeza na kuiunga mkono ili iendelee na moyo huohuo
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Mbona kafafanua vizur tu au ww ndo unalazmsha kutomuelewa coz wangapi wamejikuta wanadaiwa kwa sababu mtu flan kukopa bank au kampun flani ya kifedha kwa kutumia credentials zake.
Kuna tukio lilitokea mwaka jana la mume kujiua baada ya mke kukopa fedha nyingi kwa kutumia jina la mume wake na pesa zote alitapeliwa.
 
Back
Top Bottom