Hakuna bank au kampuni inatoa hela kinyemela hivyo. Yaani uende na details zangu uwaambie wakupe hela pasipo kuniona au kufanya mawasiliano na mwenye hizo credentials? Labda unaongelea Vikoba.
Ingekuwa hivyo unavyoeleza wewe ni rahisi, ni wengi tungeshakopa mabenki kwa taarifa za tunaowafahamu pasipo hata wao kuelewa. Wewe unaongelea VIKOBA vya mtaani. Bank au kampuni zinazofanya biashara kweli kitu kama hicho hakipo. Tena Millioni 70, kibaya zaidi mtu aliyekopa hawafahamiani. Yaani kampuni ishindwe kuwa hata na details za aliyeenda kuchukua hiyo fedha hadi imface jamaa direct kuwa yeye ndie aliyekopa? Pesa sio nyepesi hivi aisee