Nimeshindwa kuelewa kwanini niki-date na mwanamke anashindwa kunisahau? Ilinisumbua kupata mke

Hivi mkuu una shida gan kwan? Maana naona kama umefululiza kujitukuza
Women respect men who take what they want.

If you want to have a girl, be sexual with her.
Make sexual jokes, touch her, and escalate.

If you keep it too friendly and play it safe,
you become one of her girlfriends.

You have a dick.

Don't be afraid to use it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha....kwamba unaogopa utazama mazima sio!!! Ushakwepa mishale mingi Jo โ˜บ๏ธ
Kuzama mazima haiwezekani,aina ya mwanaume mwenye majigambo kama ya mleta mada hata hisia za mbali haziwezi kuwepo
 
Sor,I don't have a dick i mean am a woman
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mkuu basi unaona sifaaaaa, embu tulia na mmoja. Acha mawazo ya kimalaya
 

Sasa unaumia na kismati cha mwenzako
Mwenzako ananyota ya mashuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ