Nimeshindwa kuendelea na masomo, naombeni kazi

ecollins

New Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
3
Reaction score
3
Habari wana Jf,
Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia February niko room na shosti wangu vyuma vimekaza.

Niko dodoma, ninakuja kwenu kuomba msaada wa kazi ili nijibane niweze kulipa ada nimalizie masomo yangu.

Nina skills nzuri kwenye kufanya usafi majumbani, maofisini na kwingi eko penye kuzingatia utu. Ninaweza kufanya sells and marketing, store keeper na nyinginezo kwa jinsi zitakvyohitajika.

Endapo ikitokea nikapata kazi ya mkataba wa zaid ya mwaka mmoja, nitaacha kusoma kwanza nipambane na kazi najua kusoma kupo tu muda wowote.
Ahsanteni sana 🙏🙏
 
Mimi Niko dodoma kikazi ila Nina changamoto ya kufanyiwa usafi na kufua, kama uko tayari kindly karibu pm,
 
Back
Top Bottom