Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

Ukwerii usemwe tu!
 
Mental case.
 
Hata useme vipi hasafishiki hata kwa Dodoki.

Ukweli unabaki pale pale.
 
Nyani wote kwa hulka zao siku zote hushindwa kusitiri naniliu zao. Nyani hawawezi kutambua haki na wajibu wao wa kiraia katika Jamhuri yao ya Banana.

Nyani hutamani na kujihisi ni mwenye haki hata kama hana uhalali wa madai yake. Nyani huona anaonewa ama kulalamika juu ya haki za mru mwingine hata kama yeye ndiye ni mkosaji.

Nyani hana maono wala roho ya huruma kwa yule mwenye kupigania maslahi mapana ya jamhuri yake. Ndiyo maana huishia kuwabagaza, kuwakatisha tamaa wale wazalendo wa kweli ndani ya Jamhuri ya Banana.

Nyani kawa "compromised" na watesi wa wananchi wenzake. Amekubali kuwa "sold out" ili tu akubalike na watesi wa wananchi.
 
 
Leo nna mood ya kuongea English tu, so chagua nicomment kwa english au kiswahili?
 
Kwa watu wasiojali hatima ya Taifa letu na wasiopenda demokrasia wanafikiri hivyo, ila wamepungukiwa na kitu.
 
Hii haiondoi uchafu wa wazi wa serikali ya Magufuli.

Siku ile kwenye uzi wako nilikuuliza ulitaka CDM wafanye nini? Be suggestive.

Acha kuwa mock watu wachache ambao wameamua kuwasemea Watanzania kwa mambo ambayo serikali haitendi haki. Wanajaribu na wanajitahidi, Why the hate?

We all know, Sukuma gang mlitaka kuwatumia CDM kumkataa samia kwa malengo yenu, either way bado CDM hali yao ya kisiasa isingekuwa nzuri maana Sukuma gang ni suala la muda tu mngewageuka kama walivyogeukwa na Samia.

CDM hawakuwa na baya zaidi ya kutaka mazingira salama ya kufanya siasa, Frustration zenu dhidi ya CDM ni kwasababu hawakuwaunga mkono kumpoka madaraka Samia jambo ambalo ni kinyume na Katiba, Katiba inasema Rais akifariki, Makamu wake ndiye atakayeapishwa.

Sijayaongea haya from no where (Sote tukumbuke sekeseke la power transition, na part aliyoplay Mabeyo……. Hence Samia kuapishwa.

Mtu pekee anayepaswa kuwakosoa CDM kwa move waliyofanya ni yule tu ambaye aliwatetea kipindi “wananyooshwa” na Magufuli…. Kinyume na hapo ni janja janja.

NN acha kujificha.
 
You sound like you are just a sadist who is just looking for ways to rationalize and excuse that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…