Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

Initially I was low-key loving it.

Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them].

As a matter of principle, I don’t countenance it.

But, just out of spite, I’m Mickey D’s lovin’ it.

Walizidi mno kuchonga midomo yao kana kwamba hayo mambo yalianzia wakati wa Ngosha tu.

Sisi ambao hatusukumwi na hisia, tukawaambia mbona hayo mambo yalikuwepo hata awamu zilizopita kabla ya hiyo ya 5.

Wakazidi kuchonga midomo yao na kutubatiza majina.

Ngoja tu nimpe maua yake Rais Samia. Tena na aendelee kuwakanyaga shingoni na yale mabuti yake anayovaaga akiwa kavaa magwanda yake ya kijeshi.

Watu wapumbavu si wa kuonewa huruma.

Ni kuwashikisha adabu mpaka walielewe somo.
Vibwengo wa ngosha mnafurahia sana 😆😆😆

Machadema ni majinga sana,yalipewa mkono wa heri na Rais yakaanza kumtukana ,Sasa wanyooshwe Ili iwe fundisho
 
Chadema limepoteza mvuto na mbowe ndie muuaji wa chadema....angalia siasa za kipumbavu anazofanya lissu
 
Back
Top Bottom