Nimeshindwa kujizuia kwa wamama watu wazima

Nimeshindwa kujizuia kwa wamama watu wazima

Kweli kila mtu na ugonjwa wake, siku hizi naanza kupenda heavy weight a.k.a mishangazi ila najizuia sana hasa wenye rangi ya chocolate na wenye T tatu. Uwiiiiiiiii na ukiyamwagia sifa kidogo tu bye bye🙆🏾‍♂
 
Wadau habari za muda

Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu.

Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama watu wa rika langu kama sio type yangu kabisa Yani nisipofanya mapenzi na wanawake wakubwa najiona kama sio kitu

Mimi Nina miaka 25.
Kwa nyuzi za mithili hii SISIEM itatoka madarakani mwaka 4025.

LOTH HEMA.
 
hapa kitaa kuna kuna mmoja anaitwa Bi Rossy, yupo late 50"s to early 60's ana zinga La TAKO, sio poa kabisa. ananiumiza roho kwa kweli. Leo nakatiza nimemkuta kainama anaokota kitu kuinuka kameza aisee dah alinivuruga sana halafu alijiachia kabisa akawa anatembea bila ya kujimezua. Kuna mjamaa alikuepo pemebeni alinitizama kwa jicho baya sana mpaka akanitia hofu isijekuwa mama yake. Kwa kweli bado ni mgeni kwenye haya mazingira ila mda wowote naweza kujikataa.
 
Mm mwenyew nikikutana na mimama ndo nasisimkwa kuliko vigoli. Mishangazi, mishangingi, minene minene flani hivi yenye mitrako. Miwanja hiyooo, mijicho imelegea kwelikweli inayokula kungu! Inayondembea ikivaa dera! Wanajf kwq kweli mimama kama Lamomy iniue tu
Tutengeneze benderaaa na tupo bako to bako.

Hongera sanaa Kwako 😊
 
Wadau habari za muda

Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu.

Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama watu wa rika langu kama sio type yangu kabisa Yani nisipofanya mapenzi na wanawake wakubwa najiona kama sio kitu

Mimi Nina miaka 25.
Wewe ndio yani . Alafu hayanukatai
Asiione Poor Brain
 
Unawapatapataje mkuu,tupe mbinu, wengine tunaogopa kuambiwa hatuna adabu, lakini kufanya mapenzi na mama watu wazima Kuna Raha yake!
20230411_234817.jpg
 
Back
Top Bottom