ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
😂🤣Nipo NkwendaMkuu upon Rwenkorongo nini!!?hasa kule mlimani kabisa!!?
Karibu
😂🤣Nipo NkwendaMkuu upon Rwenkorongo nini!!?hasa kule mlimani kabisa!!?
Ndo hivyo mkuu 😎.kah!
Daaaha mkuu huyu tayar kashakuja chamaniWewe ndio yani . Alafu hayanukatai
Asiione Poor Brain
Bi mkubwa anatimia id gani humu?!Daaaha mkuu huyu tayar kashakuja chamani
Mshangazi dot comBi mkubwa anatimia id gani humu?!
Mama ako wewe ana tabia mbaya sana aiseeee...Hata mimi mama yangu yumo humu à naitwa Nusratt
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tigo wamewakimbia baada ya kuharibu jina lake sasa mmehamia huku tena Eti mixx by yass😃🤣🤣🤣🤣Hatari Zaidi Ukutane Nalo Linatoa Na Mixx By Yas''ass.....Ni Masafi Na Mnato Kotekote Ni Mwendo Wa Chomeka Chuma,,Chomoa Chuma,,Didimiza Tena Chumaa....
Poor brain a.k.a. serengeti boy under 17 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaah mkuu ebu tuheshimiane bana yaan mi kuitwa serengeti boy sitaki mkuu
Sipendi mkuu mi napenda mishangazi ila sio Serengeti boy mkuu..Poor brain a.k.a. serengeti boy under 17 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
DuuhWadau habari za muda
Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu.
Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama watu wa rika langu kama sio type yangu kabisa Yani nisipofanya mapenzi na wanawake wakubwa najiona kama sio kitu
Mimi Nina miaka 25.