Nimeshindwa kulifungua begi la marehemu Mama yangu

Nimefiwa na baba miezi kadhaa nyuma ok sawa kuwa na uchungu utakuwa nao automatically ila suala la kulia na kuwa Emotional Emotional Hilo suala nishalikataa Hakuna suala la kuniliza Duniani kwangu.

Najua Mama kutokana na yeye Ni binadamu atakufa tu Sina hakika 100% Kama sitolia ila kulialia not for me nimechagua kuwa Emotional Stable haijarishi situation.

Sijawai kuposti msiba wala baba akivyokufa kwasababu sio mtu was kuposti ila hata ningekuwa mtu was kuposti suala la kuwaza kwamba watu wataniambia POLE POLE silipendi ishu zozote za ki Emotional Emotional sipendi niwe nazo.
 
Huenda ni kiandika haya naweza kupata faraja na comfort kutoka kwa wadao walio wahi kupitia hali kama hi (death trauma). Tarahe 13 June mwaka jana nilipoteza mama angu kipenzi, ni lipitia wakati mugumu sana kukubaliana na ukweli kama mama amefariki kweli, cijawahi kulia tangu ukibwani ila ni lilia kama mtoto mdogo kwa siku zaidi ya tano na mkia kaburini ili raho na nafsi yangu zikubaliane na ukweli kwamba ni kweli Mama amekufa na hatarudi.

Lakini bado niliendelea tu kulia na kuumia mpaka leo licha ya kua mimi ni mtu mzima of early 40s, kifo cha mama asikuambie mtu acha tu hakisahuliki, licha ya kua Baba mzazi alitangulia mbele ya haki miezi miwili nyuma ila sikua traumatised kama kifo cha Mama mpaka leo bado siamini, chagamoto eliopo sasa ni hi alinikabidhi begi lake lenye kila kitu chake chamaana kabla ya kusafiri vikiwemo na hati vyeti funguo nguo zake na vyakwangu pia.

Kila na potaka kulifungua begi na shindwa natetemeka na kububujika machozi na simanzi za hali ya juu, ni lijipa mwoyo kwamba huu mwaka kipindi cha likizo ya sense nta lifungua ila tena ni meshindwa nimelirudisha juu kwenye undrop, sitaki kulazimisha roho yangu na wakika nilio nao mama angu hakuamini ushirikina, ni lipenda mama angu sanaa kuliko anything lakini kinacho niuma zaidi naona kama nateseka peke yangu kaka zangu na wadogo zangu, wako oky normal sanaa hata hawakulia kwenye msiba wakulia kama mimi, licha yakua alikua ana wasaidia kupitia kwangu, kwasabb na wazidi kila kitu na nimeishi na mama ngu tangu ni memaliza Chuo 2008.
Unatafuta nini kwenye begi hilo mkuu?
Hiyo kazi ya kufungua wape mama zako wadogo au wakubwa.
Unaweza kukutana na vitu usivyotegemea mfano nguo zake za ndani utajisikiaje?
 
Huenda ni kiandika haya naweza kupata faraja na comfort kutoka kwa wadao walio wahi kupitia hali kama hi (death trauma). Tarahe 13 June mwaka jana nilipoteza mama angu kipenzi, ni lipitia wakati mugumu sana kukubaliana na ukweli kama mama amefariki kweli, cijawahi kulia tangu ukibwani ila ni lilia kama mtoto mdogo kwa siku zaidi ya tano na mkia kaburini ili raho na nafsi yangu zikubaliane na ukweli kwamba ni kweli Mama amekufa na hatarudi.

Lakini bado niliendelea tu kulia na kuumia mpaka leo licha ya kua mimi ni mtu mzima of early 40s, kifo cha mama asikuambie mtu acha tu hakisahuliki, licha ya kua Baba mzazi alitangulia mbele ya haki miezi miwili nyuma ila sikua traumatised kama kifo cha Mama mpaka leo bado siamini, chagamoto eliopo sasa ni hi alinikabidhi begi lake lenye kila kitu chake chamaana kabla ya kusafiri vikiwemo na hati vyeti funguo nguo zake na vyakwangu pia.

Kila na potaka kulifungua begi na shindwa natetemeka na kububujika machozi na simanzi za hali ya juu, ni lijipa mwoyo kwamba huu mwaka kipindi cha likizo ya sense nta lifungua ila tena ni meshindwa nimelirudisha juu kwenye undrop, sitaki kulazimisha roho yangu na wakika nilio nao mama angu hakuamini ushirikina, ni lipenda mama angu sanaa kuliko anything lakini kinacho niuma zaidi naona kama nateseka peke yangu kaka zangu na wadogo zangu, wako oky normal sanaa hata hawakulia kwenye msiba wakulia kama mimi, licha yakua alikua ana wasaidia kupitia kwangu, kwasabb na wazidi kila kitu na nimeishi na mama ngu tangu ni memaliza Chuo 2008.

Inauma sana kumpoteza mzazi lakini punguza attachment, unachopaswa kufanya sasa ni kumuombea alalesalama.

Pili: Ondoa comparison na ndugu zako, kila mtu ana namna ya kutatua changamoto za feelings / emotional zinapomkuta!! Kwako wewe ni kulia sana kwa mwenzio inaweza kuwa vingine! Ukitaka waugue kama unavyojiuguza ni kuanzisha mataka baina yenu!!

Tatu: wewe una kipato kuliko wenzio na mama aliwasaidia kupitia wewe?? Walijua kama mama anawasaidia au wewe? Hapa kuna cha kujifunza sisi wazazi wadogo, kwa nini utoe msaada kwa watoto wako kupitia mtoto mwingine!!? We ulikuwa mtoto wamama inaonekana (sorry kwa hili but nimewiwa kulisema!
 
Nimefiwa na baba miezi kadhaa nyuma ok sawa kuwa na uchungu utakuwa nao automatically ila suala la kulia na kuwa Emotional Emotional Hilo suala nishalikataa Hakuna suala la kuniliza Duniani kwangu.

Najua Mama kutokana na yeye Ni binadamu atakufa tu Sina hakika 100% Kama sitolia ila kulialia not for me nimechagua kuwa Emotional Stable haijarishi situation.

Sijawai kuposti msiba wala baba akivyokufa kwasababu sio mtu was kuposti ila hata ningekuwa mtu was kuposti suala la kuwaza kwamba watu wataniambia POLE POLE silipendi ishu zozote za ki Emotional Emotional sipendi niwe nazo.
Ni msimamo mzuri sanaa mkuu, na mimi mwazoni ni likua na msimamo kama huo, na sikuwahi kua too emotional kulia hata siku moja, ila siku nilivo angalia maiti ya mama nikashika vidole vyake kama vilivyo fanana na vyangu ni kamshiki kichwani nilishindwa kujizuia kulia, kulia ni involuntary action, hutumie akili au reasoning ya mtu, ni mepitwa na magumu sana, likiwemo la kufungwa bila kosa kwasbb ya wivu wa biashara mama alivo ni tizama niko lockup na jinsi navo onewa alibubujika na machozi mimi sikuweza kulia hiyo siku, ni limpa mwoyo mama usilie ntakua fyne tu ni suala la mda, ila, kwa hili ni lishindwa, nilitamani sanaa ni silie.
 
Inauma sana kumpoteza mzazi lakini punguza attachment, unachopaswa kufanya sasa ni kumuombea alalesalama.

Pili: Ondoa comparison na ndugu zako, kila mtu ana namna ya kutatua changamoto za feelings / emotional zinapomkuta!! Kwako wewe ni kulia sana kwa mwenzio inaweza kuwa vingine! Ukitaka waugue kama unavyojiuguza ni kuanzisha mataka baina yenu!!

Tatu: wewe una kipato kuliko wenzio na mama aliwasaidia kupitia wewe?? Walijua kama mama anawasaidia au wewe? Hapa kuna cha kujifunza sisi wazazi wadogo, kwa nini utoe msaada kwa watoto wako kupitia mtoto mwingine!!? We ulikuwa mtoto wamama inaonekana (sorry kwa hili but nimewiwa kulisema!
Mkuu its fyne unalo sema ni limpenda mama, japo yeye alitupenda wote equally ila niliumia zaidi, sijui kwanini tuko tofautu japo wote ni ndg.
 
Lilete nilifungue.
Mimi nilifungua begi la babu mzaa mama nikakuta elfu 30.na mashati na suruali za kumwaga,misuli,na vibaragashia.yaani Kama ningeuza mitumba ningepata sana hela.
alikuwa anapenda kununua nguo alafu hazivai
 
Pole sana fanya kitu, waite bila kujua siku hiyo unalifungua. Waambie kuna meeting then waambie mfungue wote
 
Mkuu

Uchungu na hali unayopitia,unapaswa kuipitia.

Ni haki kuhuzunika kwa kumpoteza yule ambae unaamini na unaujua umuhimu na thamani yake katika maisha yako.

Usiache kuhuzunika,Ila sasa iambie nafsi na moyo ikibidi kuwa,Ninyi hamna lolote ambalo mngefanya hata abakie.

Usiamini una lawama kwa kuondokewa na wazazi wote,hakuna wa kukulaumu.

Wengi hatuwezi kusahau juu ya wapendwa wetu tuliowapoteza,Ila ni lazima maisha yaendelee kwa namna yeyote na Ndio maana uwa tunajidanganya nafsi kwa kujisahaulisha.

Usitumie muda mwingi kuwapa ndugu wengine kwamba kwa nini awahisi uchungu km ulivo wewe,Huez juwa yanayoendelea nafsini mwao.

Wewe ni imara kwa kuwa wazi kutushirikisha jambo hili ambalo linakufanya kuwaza mengi kipindi hiki.

Ongea na nafsi yako,ya kwamba Sasa mpendwa MAMA amepumzika na alipo ni mahala sahihi kwa wakati sahihi.

Kwa Imani yako,sema na Muumba akuimarishe na akuvushe kipindi hiki.

Mwanadam ana maoni yake,hasa Kwenye mitandao km JF,Lakini kwa muda wako ukizingumza na Mungu utaona mawasiliano ya moja kwa moja baina yako na yeye.

Kuna mambo mama aliyapenda na inawezekana hata leo ukiyakumbuka yanakuhuzunisha,weka ahadi ya kuwa Bora kama alivyokuwa,kujali wengine kwa kadiri ya uwezo wako n mfano wake.

Hakuna lawama tutakazotoa zikatosha kuonesha kuwa Mungu kakosea katika maamuzi aliyotoa.

Tumempoteza MAMA,Ila tunao uwezo wa kumuombea,kumuenzi,kumuheshimisha kwa kuwa bora,kujitoa Kwa wengine,kujibidiisha katika kazi , kujilinda na uadui na kuamini Mungu halali.

Anatusikia na kama tutajiegemeza kwake,pasi na shaka atatushika na kutuvusha.

Hatujachelewa,muda ni sasa
 
Tunashukuru mkuu kwa ushauri mzuri wenye busara ubarikiwe sanaaa
 
Komaa kamanda,naelewa unayopitia.pole mkuu....Mimi mama yangu yupo 50 Lakini afya yake haiko njema kivile but Mungu wetubado anampigania....nakumbuka siku nipo room nilienda msalimu likizo...yeye akiwa sebuleni...akawa anaita jina langu Sia,Sia...siaaa! Mi kwenda mwitikia nikaenda mwitikia sauti ya mwisho....😳maskini kumbe alikuwa anaomba msaada nimshike anaishiwa nguvu Ivo vile kufika tu sebuleni akadondoka kama mzigo....nilipiga yowe hilo....mamaaa! Afu kimya.Huwez amini tulijikuta tupo hospital tumetundikiwa drip wote.😥mama anauma Jaman,mama ni mama.Mwenyez Mungu akutie nguvu Covax 🙏🙏🙏🙏
 
Umesema baba alifariki miezi kadhaa kabla, lakini hukumlilia kama mama - mkuu ingependeza ungeacha ulinganisho huu wa kukiri ulimpenda mzazi moja kuliko mwingine.

Mungu akupe subira ya kuipokea misiba ya wazazi wako wote wawili.
 
Back
Top Bottom