Komaa kamanda,naelewa unayopitia.pole mkuu....Mimi mama yangu yupo 50 Lakini afya yake haiko njema kivile but Mungu wetubado anampigania....nakumbuka siku nipo room nilienda msalimu likizo...yeye akiwa sebuleni...akawa anaita jina langu Sia,Sia...siaaa! Mi kwenda mwitikia nikaenda mwitikia sauti ya mwisho....[emoji15]maskini kumbe alikuwa anaomba msaada nimshike anaishiwa nguvu Ivo vile kufika tu sebuleni akadondoka kama mzigo....nilipiga yowe hilo....mamaaa! Afu kimya.Huwez amini tulijikuta tupo hospital tumetundikiwa drip wote.[emoji26]mama anauma Jaman,mama ni mama.Mwenyez Mungu akutie nguvu
Covax [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]