Nimeshindwa kulifungua begi la marehemu Mama yangu

Mkuu its fyne unalo sema ni limpenda mama, japo yeye alitupenda wote equally ila niliumia zaidi, sijui kwanini tuko tofautu japo wote ni ndg.
Kutoa machozi na kulia kwa sauti sio ishara ya kuumia zaidi kuliko aliye kimya!! Hilo weka akilini.
 
Umesema baba alifariki miezi kadhaa kabla, lakini hukumlilia kama mama - mkuu ingependeza ungeacha ulinganisho huu wa kukiri ulimpenda mzazi moja kuliko mwingine.

Mungu akupe subira ya kuipokea misiba ya wazazi wako wote wawili.
Mkuu ni samehe kwa hilo upendo sio wakutegeneza au kujifanyisha wazazi wote ni liwapenda ila nilipata hisia kali mama alivo fariki , na mimi sikutaka liwe hivo ,
 
Mungu sio kitu
 
Mkuu nashukuru, ni mesha komaa, some time nazidiwa kukubali matokeo, kibaya zaidi mke alikua mjaa mzito mwaka hu ni kapanga akijifungua na mpa jina la mama japo sio la ukoo wetu, ili nijifaliji imetokea kazaa mutoto wa kiume loh, nikawa disappointed kdgo ila am ready to move on.
 
Yeah,unapaswa umove on🤜
 
ndo shida ya kumfanya mtoto mmoja special,umama mwingi inafikia hatua we ndo unaona kwamba una uchungu wa kufiwa peke yako.
wazazi wafunzeni watoto wenu kuendelea na maisha pindi hampo especially watoto ambao washakuwa watu wazima kama mleta mada ,inasikitisha mtoto wa kiume kuwa hivi,kama mtu mzima 40 years unakuwa hivi vipi kwa familia yako(mke na watoto).Nisamehe sana ila sina budi kuyasema haya
 
Umuhimu upo kwa kweli na lazima nilifungue kabla ya mwaka hu kuisha
Usilifungue ukiwa mwenyewe.Mali ya marehemu wa kike hasa nguo hupewa watoto na ndugu wote wa kike wa marehemu. FUNGUA NA WAO NA WEWE UTAFUNGULIWA. HILO SANDUKU NDILO LINAKUSUMBUA.
 
Usilifungue ukiwa mwenyewe.Mali ya marehemu wa kike hasa nguo hupewa watoto na ndugu wote wa kike wa marehemu. FUNGUA NA WAO NA WEWE UTAFUNGULIWA. HILO SANDUKU NDILO LINAKUSUMBUA.
Sawa mkuu ahsante
 
Unahisi ukilifungua utakuta matunguri au nini shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…