Nimeshindwa kumsahau

Simu ulimnunulia ili akupe ngenya au ulimnunulia kwa sababu ulimpenda???
 
Baaday ya kununua cm yangu iliyofuata ni ya mama
haya mwambie akurudishie na zile pesa za kujikimu basiii???? kubali umechunwa na mbunye hujapata.....cm jifariji nayo....songa mbele.....utachunwa sana dogo...
 
haya mwambie akurudishie na zile pesa za kujikimu basiii???? kubali umechunwa na mbunye hujapata.....cm jifariji nayo....songa mbele.....utachunwa sana dogo...
Unaongea Kama hujawahi kumuhudumia msichana asee
 
miaka 30 ? unaonekana hujielewi kabisa, huo sio umri wa kuhangaikia k... i doubt at your mid and late 20's kuna sehemu ulibugi now inakukost
 
Sasa mkuu ulitaka aje mwenyewe ili UMLE?
Kataka kukuonesha kua yeye sio mrahisi...
Na pia alivyosema yuko MP alikua anakataa huku anataka
 
unamhudumia yeye mgonjwa?? sema kanichuna na K yake kaninyima ndo maana nikamnyag'anya simu........
wanaume tunahudumia familia.....madem tunahonga......mbwiga wewe.....
Mbona nimeweka mambo wasi tu angekuwa amenipa hiyo k yake ningemwachia hiyo cm kama mafao yake tu
 
Then nilitakiwa nifanyeje? Nimwachie kwa lipi? Maana hata kugonga sijawahi kugonga hapo sijaandika hela nilizokuwa nampa kwa ajili ya kujikimu
Be a gentleman...

Hutakuja ng'oa dem.
 
Kausha tu kijana, kwani baada ya kumnyang'anya simu aliendelea kukutafuta?
 
Me hapaa 20 tu dadekiii...nimempa manenoo nataka anirudishieee falaa sanaa...!!
 
Haa ha...Anipe papuchi iwee kama mafaoo yakee.!! Hasiraaa sanaaa dadekiii...mkuu chukua tu hiyoo simu kulikoo aendelee kupata mtelezo wa kuwasiliana na vibwanaa vyakee...Chukua kajuteee shenzii sanaa...
 
Kua na msimamo kijana! Kama umeona hakufai songa mbele, ukianza kurudirudi nyuma utapotea!
 
Una miaka 30 bado hujajielewa bado au ndo kwanza unaanza mapenzi???achana nae huyo tafuta wa size mfanye maisha
 
Mwambie na chakula akulipe. Maana ulichokifanya siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…