Nimeshindwa kumsahau

Wanaume tumebaki wachache sana

Wavulana endeleeni na kutunza mabinti ni dada zenu wanaume tunawatafuna

Ukikua utajua nini nimemaanisha
aise hiyo kitu ilinkuta kisichana kimekuja kwangu nimekitomasa tomasa wee ila kuingiza kikawa kinatetemeka na kinataka kulia na uku kinakemea nisifanye hivyo basi mm nami nikaona isiwe shida nikaacha wiki moja badae kinakuja tena kinasema baba mchungaji kanambia ninataka kuacha maagano yangu na mungu kwa hyo inabidi nisubiri so mpka sasa nasubiri cjui baba mchungaji ataruhusu mapema au bado nieendlee tu kusubiri
 
Hii story yako tengeneza vizuri nitakudhamini
 
Hii story yako tengeneza vizuri nitakudhamini
bro sio imagination story ni kitu kilichonitokea sema nilivyokuwa nimemchukulia yy kuwa mke wa kuishi naye kwa hyo skutaka kuharakisha jambo na badae kumkera kumbe ndo nlkuwa nakosea na ukiangalia yy mwnywe jinsi alivyojiweka ni mtoto wa kusali sana kwa hyo ikabidi niwe mpole nikitegemea vizuri badae ndo hvyo ilvykuja kuniumiza nimebakia na taswira ya jinsi tulivyokuwa kitandani basi
 
Mkuu jipe moyo mungu huepusha mambo mengi sana hasa kwa sisi vijana huwezi jua mungu amekuandalia nini mbele
 
Jichanganye na wadada wengine utamsahau fasta.
Ila pia kuna mademu kuwasahau ni ngumu sana. Mimi yupo mmoja licha ya kujimix saaaaana ila kichwani hatoki, kagoma kabisa!
Kila shetani na mbuyu wake
 
Kanunua simu kampa demu walivyoachana kampokonya, nichum tena mwaaaa
 
Alitaka niwe rude akaweka hadi pedi mkuu. Maana mwenyewe niliwaza ulichokiwaza alivoona simwelewi alisimama akapandisha sketi kasogeza pichu pedi hiyo hapo ikabidi niwe mpole tu
Hahaha umenikumbusha Jamaa yangu dem lazima akaguliwe na kidole adi aone dam ndo anaacha hahah haya mambo haya
 
Achana nae ji keep busy hakupendi huyo,bora ulivyo mnyan`gan`ga simu na hata kama kuna kingine ulimnunulia kakichukue na kile chakula ulichomnulilia kamtapishe ili akue kiakili haiwezekani akubali offer zote hizo halafu akuzingue Ebo!!
Kama msosi kashaunya akachukue kinyesi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oukei
 
Jichanganye na wadada wengine utamsahau fasta.
Ila pia kuna mademu kuwasahau ni ngumu sana. Mimi yupo mmoja licha ya kujimix saaaaana ila kichwani hatoki, kagoma kabisa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kagoma kabisa Pole sana
 
Yaaaaah waongezee hata kumiii kulikooo kuwapaaa HV viumbe visivyokuwaa na akilii
Kanye ujipake huna adabu eti viumbe visivyo na akili ili hali moja wapo ya kiumbe hicho kilikusitiri kwenye nyama zake miezi tisa, shenzi jifunze kutumia neno baadhi nyang'au wewe
 
Unavyoonekana hata wewe sio muhenga wa haya mambo. Bado underground sana na mambo ya wanawake. Unakubali vipi kumpoteza binti kizembe hivyo? Hizo mbinu hutumiwa sana na wanawake wa kileo ili kupima upepo kwanza. Kwanza hukutakiwa kuonyesha tamaa kama ya fisi kwenye swala la ngono. Ww kuwekewa tomato na pedi siku moja tu ukaliamsha mdude. Je ungetelekezwa lodge ukalala peke yako na gharama kibao umelipia si ungetoka nakolomeo la mtu ww? Badilika kijana utawapoteza wengi na utaumia sana nafsini mwako.
 
Kanye ujipake huna adabu eti viumbe visivyo na akili ili hali moja wapo ya kiumbe hicho kilikusitiri kwenye nyama zake miezi tisa, shenzi jifunze kutumia baadhi nyang'au wewe
Hahahahaa duh, kumbe mkali ivyo
 
hahahaha, wachangiaji mmekuwa wakali sana
 
Najua kilichokukasirisha ni kutopewa papuchi mkuu, ila unaokana bwege kwa kitendo cha kumnyang'anya sim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…