Nimeshindwa kumsahau

Yeye si anajishibia hadi msosi wa usiku anapewa kwa raha zake
Umeonaee? Na hicho cha usiku kinampa kiburi angenyimwa mara Mbili angetafakari na kujua wapi amekosea, chezea njaa ya Usiku wewe
 
Dah....una uhakika una miaka 30?...nauliza tu[emoji87]
 
Nipe namba yake nimbembeleze arudi kwako
 
Sasa unashindwa kumsahau wakat hata papuch haujala mkuu unamkumbuka kwa lipi
 
Miaka 30 unahonga simu na kunyang'anya chaa kweli hujakua bado inabidi wanaume wenzako wakufunde kutoa sadaka.Wenzio wanahonga majumba na bado wanapigwa chini na hawachuki hatua.
 
Miaka 30 unahonga simu na kunyang'anya chaa kweli hujakua bado inabidi wanaume wenzako wakufunde kutoa sadaka.Wenzio wanahonga majumba na bado wanapigwa chini na hawachuki hatua.
Huyu akikuhonga bodaboda ukimpiga chani anza kutangaza msiba maana kama ni Usiku asubuhi utapokea taarifa za mtu kujinyonga kisa wivu wa mapenzi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu akikuhonga bodaboda ukimpiga chani anza kutangaza msiba maana kama ni Usiku asubuhi utapokea taarifa za mtu kujinyonga kisa wivu wa mapenzi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kifala yaani umepatia mno ikishindikana anaitia moto tu mkose wote.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kifala yaani umepatia mno ikishindikana anaitia moto tu mkose wote.
Hapo kakusamehe sana ila kukukomoa anajiua kabisa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu sisi wanaume wenzio huwa hatuwapokonyi wanawake v2 tulivyo wanunulia kama zawadi pndi tunapotaka kuwaacha
Ikitokea unaishi na mkeo ndani ya ndoa kila mkikosana inavyoelekea utakuwa unamsimanga sana mtoto wa watu " nyumbani kwenu ninyi ni masikini tu...,halafu unajifanya kunisumbuasumbua,Baba yako mlevi sana,Mama yako mlevi sana,wale kaka zako wezi sana hawafanyi hata kazi muda wote wanawaza kuiba vitu vya watu,mama yako Malaya sana ndyo maana amezaa watoto wengi na wanaume tofautitofauti,ulikuja hapa kwangu hata kuvaa,kupika na kupiga mswaki hujui halafu hivi leo unakuja kujifanya mjanja?"
You're still growing up Bro'
 
Mwanamke anahitaji kubembelezwa ukienda kasi unampoteza
Kama huitaji kuendelea nae mpotezee lakn kam wamuhitaji mrudie
 
Wewe ni kilaza!!.....Ukishampa mwanamke kitu hutakiwi tena kumnyanganya whatever what!!
 
Me nimemtukanaaa..Tumeishianaa..!! Shwain...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…