Nimeshindwa kumsahau

Nimeshindwa kumsahau

we nae sijui umetoka pori gani?utamny'ang'anyaje manzi kitu ulichompa?unaonekana una kauchoyo flani hivi
 
Mi ni kijana (me) miaka 30 Kuna kabinti hapa mtaani nilitokea kukupenda basi sikujivuta sana nikamtafuta nikachukua number za cm nikamuomba siku moja tupate wote chakula Cha usiku basi haikuwa tabu akakubali ile siku tuliyokutana kwa ajili ya chakula sikumwambia chochote kuhusu lengo langu la kuwa nae week iliyofuata nikamuomba tena tukutane akakubali tukakutana tena sehemu nyingine hapo ndipo nilipofunguka alinielewa ila hakutaka kunijibu pale akanambie nipeleke home nikifika tu nakutumia txt sikulazimisha sana nikafanya Kama alivotaka na kweli alivofika tu home mi hata kabla sijaondoka mtaani kwao majibu yakaja amekubali. Tazizo lipo hapa tokea siku hiyo hataki kukutana na mimi akiwa mwenyewe nyumbani kwangu anakuja lakinj akiwa na mwenzake ashafanya ivo mara mbili mara ya mwisho juzi jumamosi amekuja mwenyewe lakini akiwa MP (hakuwa na smartphone nikamnunulia japo ni cm ya bei rahisi) hicho kitendo Cha kuja mwenyewe alafu MP kilinikasirisha sana ukizingatia Kuna vitu vingi tu vinatokeaga vinavyo ashiria Kama kwangu anazuga tu ikiwemo kutokujibu msg kwa wakati hanitafuti mpaka Mimi nimtafute ukimuuliz sababu kibao ambazo kimsingi hazina mashiko. Sasa juzi nimeamua kugombana nae na nikachukua cm yangu ambayo nilimwambia nachukua cm yangu kwakuwa huna kumbu kumbu yoyote nzuri uliyo niacha zaidi ya furaha ambayo niliipata siku uliyoniambia upo tayari kuwa na mimi. Alitaka nimwachie hiyo cm ili nilikataa kata kata ila tokea nimechukua hiyo cm nafsi nimekuwa ikinisuta sana natamani nimrudishie ila sijui atanichukulia je kumpenda nampenda bado ila sitaki kuingia kwenye mahusiano yenye msongo kwa sasa Kwani umri nilio nao ni wa kufanya mahusiano thabiti kabisa. Ushauri wenu wana jamvi nimpe tu hii cm au nimpotezee maana sina dhamira ya kuendelea nae tena hata Kama yeye ata taka iwe ivo
ha ha ha nyumba yako inaungua unabeep fire........

OK kama kweli umeamua kumpotezea simu yako usimpe....ila kama unamtaka hivi bado
 
Kwa masikitiko makubwa kabisa. Kwanini nyuzi nyingi za mapenzi zinaletwa na wanaume wakilalamika kuumizwa na mademu? Wanaenda mbali zaidi wanakuja kutafuta msaada wa kimawazo kutoka jf. Hii ni haki kweli mwanaume kamili kushindwa kufanya maamuzi ya kiume. Very sad
 
Unaonekana mzembe sana wewe dogo kaleta techinic za sekondari kabisa yani hizo zinachezwa na wasichana wa kidato cha pili na cha Tatu
Wewe tafuta mwingine nyumba ya ibada achana na kuku wakienyeji hao
 
Mi ni kijana (me) miaka 30 Kuna kabinti hapa mtaani nilitokea kukupenda basi sikujivuta sana nikamtafuta nikachukua number za cm nikamuomba siku moja tupate wote chakula Cha usiku basi haikuwa tabu akakubali ile siku tuliyokutana kwa ajili ya chakula sikumwambia chochote kuhusu lengo langu la kuwa nae week iliyofuata nikamuomba tena tukutane akakubali tukakutana tena sehemu nyingine hapo ndipo nilipofunguka alinielewa ila hakutaka kunijibu pale akanambie nipeleke home nikifika tu nakutumia txt sikulazimisha sana nikafanya Kama alivotaka na kweli alivofika tu home mi hata kabla sijaondoka mtaani kwao majibu yakaja amekubali. Tazizo lipo hapa tokea siku hiyo hataki kukutana na mimi akiwa mwenyewe nyumbani kwangu anakuja lakinj akiwa na mwenzake ashafanya ivo mara mbili mara ya mwisho juzi jumamosi amekuja mwenyewe lakini akiwa MP (hakuwa na smartphone nikamnunulia japo ni cm ya bei rahisi) hicho kitendo Cha kuja mwenyewe alafu MP kilinikasirisha sana ukizingatia Kuna vitu vingi tu vinatokeaga vinavyo ashiria Kama kwangu anazuga tu ikiwemo kutokujibu msg kwa wakati hanitafuti mpaka Mimi nimtafute ukimuuliz sababu kibao ambazo kimsingi hazina mashiko. Sasa juzi nimeamua kugombana nae na nikachukua cm yangu ambayo nilimwambia nachukua cm yangu kwakuwa huna kumbu kumbu yoyote nzuri uliyo niacha zaidi ya furaha ambayo niliipata siku uliyoniambia upo tayari kuwa na mimi. Alitaka nimwachie hiyo cm ili nilikataa kata kata ila tokea nimechukua hiyo cm nafsi nimekuwa ikinisuta sana natamani nimrudishie ila sijui atanichukulia je kumpenda nampenda bado ila sitaki kuingia kwenye mahusiano yenye msongo kwa sasa Kwani umri nilio nao ni wa kufanya mahusiano thabiti kabisa. Ushauri wenu wana jamvi nimpe tu hii cm au nimpotezee maana sina dhamira ya kuendelea nae tena hata Kama yeye ata taka iwe ivo
Hahaha
 
Du kijana wa miaka 30 unakuwa kama katoto ka Darasa la Saba kweli umri huo ndio wakulia Lia au umekulia wapi
 
Back
Top Bottom