Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo.
Anasema imetokea kama mara tatu sasa, anapofanya mapenzi na jamaa yake jamaa anapomaliza anaenda na haja kubwa hapo hapo. Anasema mara ya kwanza ilitokea kama jamaa alipokuwa anamaliza akatoa na gesi (ninyi mnaita kujamba) hapo hapo na haja ikatoka jamaa haraka akakimbia enda nawa.
Siku nyingine tena sasa ya wikiendi ni ya tatu, mwanamke anaona yatamshinda maana anakuwa na kazi ya kuanza fua mashuka. Sasa anataka kujua shida nini? Anaona kero. Mimi nlitaka mwambia aachane na jamaa ila nahisi ataona namsagia kunguni jamaa ili mimi ndiyo nianze kumla.