Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amkande tumbo na kuhakikisha amekwenda haja kubwa kabla ya lolote.Huyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo.
Anasema imetokea kama mara tatu sasa, anapofanya mapenzi na jamaa yake jamaa anapomaliza anaenda na haja kubwa hapo hapo. Anasema mara ya kwanza ilitokea kama jamaa alipokuwa anamaliza akatoa na gesi (ninyi mnaita kujamba) hapo hapo na haja ikatoka jamaa haraka akakimbia enda nawa.
Siku nyingine tena sasa ya wikiendi ni ya tatu, mwanamke anaona yatamshinda maana anakuwa na kazi ya kuanza fua mashuka. Sasa anataka kujua shida nini? Anaona kero. Mimi nlitaka mwambia aachane na jamaa ila nahisi ataona namsagia kunguni jamaa ili mimi ndiyo nianze kumla.
Mwambie jamaa yake tayari ni "mbele yetu nyuma yake"Huyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo.
Anasema imetokea kama mara tatu sasa, anapofanya mapenzi na jamaa yake jamaa anapomaliza anaenda na haja kubwa hapo hapo. Anasema mara ya kwanza ilitokea kama jamaa alipokuwa anamaliza akatoa na gesi (ninyi mnaita kujamba) hapo hapo na haja ikatoka jamaa haraka akakimbia enda nawa.
Siku nyingine tena sasa ya wikiendi ni ya tatu, mwanamke anaona yatamshinda maana anakuwa na kazi ya kuanza fua mashuka. Sasa anataka kujua shida nini? Anaona kero. Mimi nlitaka mwambia aachane na jamaa ila nahisi ataona namsagia kunguni jamaa ili mimi ndiyo nianze kumla.
wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaume wanazidi kupungua
Yani anafua mashuka yenye kinyesi Cha mtu mzima ambaye sio mgonjwa anatembea kwa miguu miwili!!!!???? Ptuuuuh !!!Huyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo.
Anasema imetokea kama mara tatu sasa, anapofanya mapenzi na jamaa yake jamaa anapomaliza anaenda na haja kubwa hapo hapo. Anasema mara ya kwanza ilitokea kama jamaa alipokuwa anamaliza akatoa na gesi (ninyi mnaita kujamba) hapo hapo na haja ikatoka jamaa haraka akakimbia enda nawa.
Siku nyingine tena sasa ya wikiendi ni ya tatu, mwanamke anaona yatamshinda maana anakuwa na kazi ya kuanza fua mashuka. Sasa anataka kujua shida nini? Anaona kero. Mimi nlitaka mwambia aachane na jamaa ila nahisi ataona namsagia kunguni jamaa ili mimi ndiyo nianze kumla.
Hilo neno kujipupulia limenifanya nimuwaze binti yangu mdogo anaposema 'apupu'.Beesmom aliandika jana kuna wanaume dizaini hii, vijana wakaanza kusema anawachafua na kuwadhalilisha wanaume.....
Amuulize huyo jamaa yake kwanini anajipupulia, amwambie akipupu afue kabisa mashuka tabia ikiendelea apigwe chini.
Beesmom namjua hakumaanisha aliongea kwa jazba tu, hata huu uzi umekaa kuharibu brand yetu wanaume... Hamna mwanaume anaeweza kujizalilisha hivyo bana, Mtu anafikaje kileleni kwa kunya???? ๐๐๐ japo inachekesha ila acheni kutuzalilisha wanaume bana, Nina wasiwasi na huu uzi itakuwa ni kamba, au umesukwa na KeBeesmom aliandika jana kuna wanaume dizaini hii, vijana wakaanza kusema anawachafua na kuwadhalilisha wanaume.....
Amuulize huyo jamaa yake kwanini anajipupulia, amwambie akipupu afue kabisa mashuka tabia ikiendelea apigwe chini.
Wewe ni ke au me? Tuanzie hapo kabla ya yoteHuyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo.
Anasema imetokea kama mara tatu sasa, anapofanya mapenzi na jamaa yake jamaa anapomaliza anaenda na haja kubwa hapo hapo. Anasema mara ya kwanza ilitokea kama jamaa alipokuwa anamaliza akatoa na gesi (ninyi mnaita kujamba) hapo hapo na haja ikatoka jamaa haraka akakimbia enda nawa.
Siku nyingine tena sasa ya wikiendi ni ya tatu, mwanamke anaona yatamshinda maana anakuwa na kazi ya kuanza fua mashuka. Sasa anataka kujua shida nini? Anaona kero. Mimi nlitaka mwambia aachane na jamaa ila nahisi ataona namsagia kunguni jamaa ili mimi ndiyo nianze kumla.
Hii ni mara ya pili nasikia suala hiliHuyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo.