Nimeshindwa kumshauri labda mumshauri ninyi

Nilisimuliwa na mtu aliyekuwa ktk baraza la kata kuwa shauri la kutaka talaka kwa ajili ya jambo hili lilokuwa linamtokea mume wa dada mmoja. Ilibidi talaka itolewe na sidhani yule bwana kama alioa tena. SIO KUWA ALIKUWA ANAFANYIWA MCHEZO MBAYA ILA NI NAUMBILE YA MWILI WAKE KUACHIA BREKI BAADA YA MSHINDO. Ni huko vijijini kabisa hakuna mambo ya ufirauni. Nashauri amwelekeze kwa daktari kwa ushauri.
 
Kwamba kufika kileleni siku hzi mpaka mavi?? Aiseee watu mna siri sana hata hamsemi ?? Ila mm hiyo stage siitaki kabisa. Au ni bwabwa hilo lijamaa lake ?
Wanawake wanaona mengi sana
 
Komeo la chuma linafunguka kwa ushuzi sio kabisa
Pole sanaa
 
Eehe hapana ndp sodomaa etii.... khaa
 
Beesmom aliandika jana kuna wanaume dizaini hii, vijana wakaanza kusema anawachafua na kuwadhalilisha wanaume.....

Amuulize huyo jamaa yake kwanini anajipupulia, amwambie akipupu afue kabisa mashuka tabia ikiendelea apigwe chini.
Hatimaye kaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake baada ya kuona kule hakuna majibu 🤣🤣😂
 
Bi sexuality....anakaza na anakazwa[emoji18]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…