Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Ule ulikuwa mchongo wa mbuzi na kamba yake
💯Sio Kila Atakachosema/Kuwa Na Mtazamo Nacho Mzungu Ama Ngozi Nyeupe Kama Wanavyoitwa Ni Lazima Kiwe Sahihi.
Nafikiri sio kutangaza tuu utalii, lazima kuwatengenezea mazingira ya utalii, barabara nzuri, usafiri, kuondoa rushwa kila sehemu, wizi ( usalama wao) nk. Mabalozi wangeweza kufanya hii kazi ya kutangaza utalii wa nchiHabari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.
Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa miezi michache ijayo, akacheka sana. Akaniamia "it was wastage of time" nikamuuliza kivipi akasema watu wazima hawapaswi kujadiliana utoto hivyo tubadili mada.
Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu bwana.
ExtraordinaryWengi wa hawa watu ninavyowafahamu hawajapenda abadani mtu mweusi ku run tourism businesses! Ujio wa technology ya internet ilitibua sana umiliki wa hii industry kwao! Lakini kama haitoshi, serikali iwekeze zaidi kwenye vichwa vya vijana na itumie vipaji vya vijana kukuza utalii na ubunifu katika marketing!
Miji na halmashauri ziwe bunifu saana katika mambo ya utalii haswa matamasha, foods seasons festivals na restaurants uniques , vitu kama hivi vinavuta watalii sana! Serikali na wizara husika toeni motisha vijana wajitokeze na ubunifu wa utalii na muwawezeshe hii kutegemea mbuga za wanyama tu haitoshi kuna watu mtaani wanavipaji ambavyo ni utalii tosha na wa nguvu!
Umeshindwa kumuelewa kwasababu Huna Akili na yeye pia Hana Akili
Inawezekana umeshindwa kumuelewa sababu hii Lugha ya Kiingereza INA CHANGAMOTO ZAKEHabari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.
Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa miezi michache ijayo, akacheka sana. Akaniamia "it was wastage of time" nikamuuliza kivipi akasema watu wazima hawapaswi kujadiliana utoto hivyo tubadili mada.
Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu bwana.
Wewe ukimpima kwa akili yako, uelewa wake yeye na wa kwako nani yuko juu ya mwingine? Isije ikawa ulimpiga swali ambalo asingeweza kutoa hoja kishahihi, akahofia kuwa jibu lake utalidharau hivyo akaona njia bora ni kukuacha kwenye mataaHabari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.