Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Ajabu ni kwamba nilipotaka kulipia nilipata ujumbe kwamba kwa kuwa credit card yangu sio ya USA basi siruhusiwi kuilipia.
NIkinunua mafuta nitashawishika kwenda kwenye mchepuko, na mchungaji hivyohivyo, ndio maana niliona nitulie nyumbani niangalie Royal Tour na family!Hio hela si ukanunue mafuta tu mkuu ukampe hata mchungaji wako atumie?
vitu vingine bana sio vya kulilia
Kwanini mchingaji nae asimpe muumini pesa?Hio hela si ukanunue mafuta tu mkuu ukampe hata mchungaji wako atumie?
vitu vingine bana sio vya kulilia
Sijui tatizo Mkuu, yangu hii hapa
Watu wa international finance watufafanulie.Kuna jambo limejificha sio bure.