Nimeshindwa kupata kazi kwa juhudi zangu. Naombeni msaada wenu

Soma udereva wa gari za mizigo na gari za kawaida.Na abiria.
 
Watafute maoperator wenzio wenye kazi (najua wapo mnaofahamiana wengi tu)
Kuwa karibu na ujitahidi kutoa angalau chochote kitu (wanasema mkono mtupu haulambwi) ila usitoe rushwa.

Jenga urafiki na maopareta unaokutana nao na uweke kumbukumbu nzuri kwao. Sijui kama unanielewa bro
 
Vipi umejaribu kutoa na kafara kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…