Nimeshindwa kupata kazi kwa juhudi zangu. Naombeni msaada wenu

Kiukweli nimepambana lakini naona pekee yangu siwezi naombeni msaada watanzania wenzangu.

Elimu yangu ni kidato cha nne ninae jitambua na mpambanaji kweli.

Licha ya hapo nina elimu ya heavy machine operator nimedeal hasa na excavator, wheelloader pamoja na lloler au compactor hizo fani nina uzoefu nazo kiukweli ipasavyo ila kwa sasa miradi mingi imesimama.

Nina ujuzi wa kutumia CHEREHANI na kuitengeneza yani kuifanyia marekebisho pale inapo kuwa imeleta changamoto yoyote.

Nina uwezo wa kusimamia mradi na ukaenda sawa kulingana malengo aliyo panga bosi nimewahi kusimamia miradi ya ujenzi, car wash na kilimo.
nina ujuzi wa computer kwa baadhi ya program.

Endapo utabahatika kufanya kazi na mimi utafaidika na:

1. Najituma
2. Nipo tayari kuelekezwa na kufundishwa.
3. Nipo tayari kuwajibika pale mambo ya napo kuwa yemeenda tofauti.
4. Nina hofu na Mungu

LICHA YA KUWA NA HIZO FANI NIPO YAYARI KUFANYA KAZI NJE YA HIZO FANI. NIMEKUJA KWENU KUOMBA KAZI BILA KUJALI FANI AU TAALUMA NILIZO NAZO.

NDUGU ZANGU WATANZANIA WENZANGU NAOMBENI KAZI.
Napatika kwa 0623593536
Hongera kwa uandishi mzuri, kuna watu wana-degree hawawezi hata kuandika.
 
Utapigiwa simu, usijali
 
Japokuwa unapambana kutafuta Ajira /Kazi

Usiache kumuomba Mungu akupe kibali cha kupata kazi

Hasa sala za usiku 02:40 AM get up and pray to the almighty GOD

Fanya hivi then endelea na mchakato wa kutafuta Ajira /Kazi.
 
ndugu shukrqni sana nakuahidi kulifanyia kazi
 
Kiukweli nimepambana lakini naona pekee yangu siwezi naombeni msaada watanzania wenzangu.

Elimu yangu ni kidato cha nne ninae jitambua na mpambanaji kweli.

Licha ya hapo nina elimu ya heavy machine operator nimedeal hasa na excavator, wheelloader pamoja na lloler au compactor hizo fani nina uzoefu nazo kiukweli ipasavyo ila kwa sasa miradi mingi imesimama.

Nina ujuzi wa kutumia CHEREHANI na kuitengeneza yani kuifanyia marekebisho pale inapo kuwa imeleta changamoto yoyote.

Nina uwezo wa kusimamia mradi na ukaenda sawa kulingana malengo aliyo panga bosi nimewahi kusimamia miradi ya ujenzi, car wash na kilimo.
nina ujuzi wa computer kwa baadhi ya program.

Endapo utabahatika kufanya kazi na mimi utafaidika na:

1. Najituma
2. Nipo tayari kuelekezwa na kufundishwa.
3. Nipo tayari kuwajibika pale mambo ya napo kuwa yemeenda tofauti.
4. Nina hofu na Mungu

LICHA YA KUWA NA HIZO FANI NIPO YAYARI KUFANYA KAZI NJE YA HIZO FANI. NIMEKUJA KWENU KUOMBA KAZI BILA KUJALI FANI AU TAALUMA NILIZO NAZO.

NDUGU ZANGU WATANZANIA WENZANGU NAOMBENI KAZI.
Napatika kwa 0623593536
Tafuta chumvi ya mawe weka kwenye maji uogee pamoja na majani ya kisamvu na mbaazi na kivumbasi

The world is more spiritual, sasa wewe tembea na vyeti tu wakati anga limejaa uchawi na majini
 
Back
Top Bottom