Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

Mleta mada tafuta mume haraka sana akusitiri.
Maisha yako yapo hatarini una genye + hali mbaya ya uchumi=Uchizi.
 
Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa.

Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU.

Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe.

Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna.

Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana wapi oli niende kwa wakala nikaitoe.
Au alitaka utoe TIGO?
 
Nilijua lazima upopolewe sana hapa wakati umezingatia jukwaa. Wakiambiwa ni great thinker basi muda wote wao ni kukaza tu misuli km wanaakili kweli vile
 
Kweli maisha magumu sana.

Nimeandika pesa watu wamekua wakali balaa
 
Back
Top Bottom