Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kabisa, katiba inahitajikaKwa hali hii katiba ni muhimu
Au alitaka utoe TIGO?Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa.
Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU.
Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe.
Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna.
Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana wapi oli niende kwa wakala nikaitoe.
Watoto wa Kinondoni wakishatolewa marinda wanaharisha mpaka Ubongo!!Mkuu utotoni uliwahi kupata unyafuzi & utapiamlo?