Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidieni wakuu, hawa wadada wawili utasema mapacha wamefanana hadi mwandiko. Hebu nisaidieni kuwatofautisha.
Hahahahahahah Nifaaaaaaah....Niko hapa ndugu yangu,nimewamiss sana wewe na FisadiKuu
Tafadhali mfikishie salam zangu.
Hahahahahahah Nifaaaaaaah....
Nifaaaaaaah.... What a blessing...!
Bora umerudi kitambo sana
Wewe tutakutafuta kabisaa Nifah wetu. Tena sasa hivi nasuka makombora mazito.I wish tungegonga glass hiviiiiiiii,maana nina raha sana.
Nafurahi kuungana nanyi tena, I love you guys.
Cheers
Wewe tutakutafuta kabisaa Nifah wetu. Tena sasa hivi nasuka makombora mazito.
And we will pop the champagne.....
Hahahahahahaha...Mimi zaidi Bruh,nina mengi ya kuongea nawe... ngoja nitulie nitakucheki.
Ila salute zako,wewe ni field marshal haswaaaa! [emoji1487][emoji1487]
Brav, nimekucheki juzi ukanichinjia baharini hivi hivi najiona bwana.Nifah you are missed alot.. Umepotea sana
Wapi tena brav... hahahahaBrav, nimekucheki juzi ukanichinjia baharini hivi hivi najiona bwana.
Hahahahahahaha...
Nasubiri michapo yako..
Bwahahahahahah.Mimi zaidi Bruh,nina mengi ya kuongea nawe... ngoja nitulie nitakucheki.
Ila salute zako,wewe ni field marshal haswaaaa! [emoji1487][emoji1487]
Almost a week iko hewani, tulikuwa tunaweza kutuma PM vizuri sanaWapi tena brav... hahahaha
Sijaona mahali uliponitafuta.. alafu hii JF imerudi lini hewani?
Ndio nimeiona PM yako.. Leo nilisema nichungulie nikakuta kitu hewaniAlmost a week iko hewani, tulikuwa tunaweza kutuma PM vizuri sana