Nimeshindwa kuwatofautisha Mbitiyaza na Nifah?

Nimeshindwa kuwatofautisha Mbitiyaza na Nifah?

I guess you lose some and win some
Long as the outcome is income .
mkuu huyo kwenye DP yako si ndio yule wa kipigo cha mbwa koko?
huyo dingi sura yake anachekesha sana,face yake ime`panic sana....
 
Bwahahahahahah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi kuna mtu kanirushia bomu humu ndani, tena hilo bomu limenikuta hadi nje ya JF. Namwangalia halafu nasema Hiiiiiiiiiiiiii, ya kihutu.

Hahaaaaaaaa
Unazidi kunipasua roho,tatizo nina mambo mengi + WC aaaarrgghhh.
Nataka niumung’unye ubuyu kwa nafasi [emoji24]
 
Babu utawapandisha watu mashetani bure

Nifah ni ka flat screen,kabayaaaa na kanaishi uswekeni huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nilinde na dhahma Babu yangu [emoji1488]

hhahahaha !lol
 
Back
Top Bottom