Nimeshindwa kuwatofautisha Mbitiyaza na Nifah?

Mimi zaidi Bruh,nina mengi ya kuongea nawe... ngoja nitulie nitakucheki.
Ila salute zako,wewe ni field marshal haswaaaa! [emoji1487][emoji1487]
Bwahahahahahah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi kuna mtu kanirushia bomu humu ndani, tena hilo bomu limenikuta hadi nje ya JF. Namwangalia halafu nasema Hiiiiiiiiiiiiii, ya kihutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…