Leo nimesikitika sana nimeamka nimekuta mvua kubwa sana na baridi na kwa bahati mbaya au makusudi Tanesco wamekata umeme na kiukweli nimesononeka sana sababu Tanesco wana hatarisha kazi yangu.
Nimeshindwa kuoga sababu hali ya hewa ni baridi sana na maji ya baridi na kiukweli nimeshindwa kuoga na kuelekea kazini ,nilitegemea kuchemsha maji kwenye heater ila Tanesco wakafanya yao
Kwa baridi hii aah watanisamehe bure tu yote wameyataka Tanesco ,nimesikitika sana