Nimeshindwa kwenda kazini sababu ya baridi, TANESCO wanahatarisha kibarua changu

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Leo nimesikitika sana nimeamka nimekuta mvua kubwa sana na baridi na kwa bahati mbaya au makusudi Tanesco wamekata umeme na kiukweli nimesononeka sana sababu Tanesco wana hatarisha kazi yangu.

Nimeshindwa kuoga sababu hali ya hewa ni baridi sana na maji ya baridi na kiukweli nimeshindwa kuoga na kuelekea kazini ,nilitegemea kuchemsha maji kwenye heater ila Tanesco wakafanya yao

Kwa baridi hii aah watanisamehe bure tu yote wameyataka Tanesco ,nimesikitika sana
 
Aiseeeee.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nasikitika kuona jinsi ulivyo wapa wazazi wako hasara kubwa
 
Yaani kama ni dar alafu unachemsha maji ya kuoga hilo ni tatizo aisee,
Kwanza mwanaume unachemshaje maji ya kuoga
Leo Dar kuna baridi ase mvua kubwa imenyesha alfajiri na ubaridi umesababisha maji kwenye tenki yawe baridi sana ...inahitaji moyo sana ,tatizo baridi bro
 
Back
Top Bottom