Katika uborawao....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wanaume wa Dar
Mkuu....Upo mkoa gani?
Aiseeeee.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo nimesikitika sana nimeamka nimekuta mvua kubwa sana na baridi na kwa bahati mbaya au makusudi Tanesco wamekata umeme na kiukweli nimesononeka sana sababu Tanesco wana hatarisha kazi yangu.
Nimeshindwa kuoga sababu hali ya hewa ni baridi sana na maji ya baridi na kiukweli nimeshindwa kuoga na kuelekea kazini ,nilitegemea kuchemsha maji kwenye heater ila Tanesco wakafanya yao
Kwa baridi hii aah watanisamehe bure tu yote wameyataka Tanesco ,nimesikitika sana
Yaani kama ni dar alafu unachemsha maji ya kuoga hilo ni tatizo aisee,Mkuu....
Huyu atakua ni wa Dar ndio wenye tabia za hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]duh kama ni mwanaume pole sana kwa wazazi wako maana mtoto wamezaa ila hawajapata chochote
Leo Dar kuna baridi ase mvua kubwa imenyesha alfajiri na ubaridi umesababisha maji kwenye tenki yawe baridi sana ...inahitaji moyo sana ,tatizo baridi broYaani kama ni dar alafu unachemsha maji ya kuoga hilo ni tatizo aisee,
Kwanza mwanaume unachemshaje maji ya kuoga
Ndo hapo sasa yani nikiona mwanaume yupo busy anachemsha maji namuona wa ajabu sana[emoji1] [emoji1]Yaani kama ni dar alafu unachemsha maji ya kuoga hilo ni tatizo aisee,
Kwanza mwanaume unachemshaje maji ya kuoga
Wa Dar, maji wana chemsha na chips wanakula...[emoji12] [emoji12]Yaani kama ni dar alafu unachemsha maji ya kuoga hilo ni tatizo aisee,
Kwanza mwanaume unachemshaje maji ya kuoga
Na mahindi wanaweka limau chumvi na pilipili[emoji1] [emoji1]Wa Dar, maji wana chemsha na chips wanakula...[emoji12] [emoji12]