Nimeshindwa kwenda kazini sababu ya baridi, TANESCO wanahatarisha kibarua changu

Nimeshindwa kwenda kazini sababu ya baridi, TANESCO wanahatarisha kibarua changu

Leo Dar kuna baridi ase mvua kubwa imenyesha alfajiri na ubaridi umesababisha maji kwenye tenki yawe baridi sana ...inahitaji moyo sana ,tatizo baridi bro
Hahaha we jamaa umenishangaza sana yaani dar unasikia baridi sasa ukikaa njombe,mufindi huko hata mswaki utapiga kweli
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kama wamama wajawazito
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Leo nimesikitika sana nimeamka nimekuta mvua kubwa sana na baridi na kwa bahati mbaya au makusudi Tanesco wamekata umeme na kiukweli nimesononeka sana sababu Tanesco wana hatarisha kazi yangu.

Nimeshindwa kuoga sababu hali ya hewa ni baridi sana na maji ya baridi na kiukweli nimeshindwa kuoga na kuelekea kazini ,nilitegemea kuchemsha maji kwenye heater ila Tanesco wakafanya yao

Kwa baridi hii aah watanisamehe bure tu yote wameyataka Tanesco ,nimesikitika sana
Uko mkoa wa Njombe au?
 
Back
Top Bottom