Nimeshindwa matumizi ya Limao, ndimu kwenye supu, ladha inapotea.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao.

Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na choma na Samaki wa kukaanga sasa yemenishinda kabisa.

Huwa nayatamani sana malimao yanayoletwa na supu najaribu kuweka angalau robo kipande kwenye supu ila matokeo yake naona supu imepoteza ladha na imeharibika kabisa, ajabu huwa naona wengine wanakamulia hadi limao zima kabisa!
 
Unakosa vingi ,mimi supu lazima niweke limao zima na pilipili nzima.
 
Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao.

Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na choma na Samaki wa kukaanga sasa yemenishinda kabisa.

Huwa nayatamani sana malimao yanayoletwa na supu najaribu kuweka angalau robo kipande kwenye supu ila matokeo yake naona supu imepoteza ladha na imeharibika kabisa, ajabu huwa naona wengine wanakamulia hadi limao zima kabisa!
Wewe upo kama mimi
Kwenye supu Mimi uwa naweka pili pili

Limao uwa siweki uwa naona kama ladha inapotea hivi
 
Awali ya yote tupate faida ya limao ktk mwili wa binadamu. Nakumbuka kipindi cha Corona malimao yalikuwa dili sn.
 
Back
Top Bottom