Hongera!Ila sasa sinenepi😁
Unakosa vingi ,mimi supu lazima niweke limao zima na pilipili nzima.Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao.
Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na choma na Samaki wa kukaanga sasa yemenishinda kabisa.
Huwa nayatamani sana malimao yanayoletwa na supu najaribu kuweka angalau robo kipande kwenye supu ila matokeo yake naona supu imepoteza ladha na imeharibika kabisa, ajabu huwa naona wengine wanakamulia hadi limao zima kabisa!
Wewe upo kama mimiTanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao.